Je kuna kozi ya muda mfupi ya web designing

Owk vp kuhusu kuwa done kwa mwaka mmoja
 
Kama nikiwa makini kwenye kozi nakufanya mazoezi ya kutosha baada ya mwaka mmoja naweza kuwa professional katika sekta hiyo
 
Jamani naomba mnijuze ili niwe professional katika sekta hiyo itachukua muda gani
 
Jamani naomba mnijuze ili niwe professional katika sekta hiyo itachukua muda gani

Iyo ni juhud zako tu ndo zitakufanya uwe professional chuo wanafundishaga basics sana sema web development si kazi ndogo unahtaji kujua vitu kama
System analysis and design
Database development
Human interface design
Php html css au asp.net
Social engne integration
Search engine optimization

Na kama hauna kipaji ndugu yangu sikushauri maana kuna watu nimemaliza nao mpaka sahivi ukimpa computer hajui hata text editor ni nini
 
Kuusu kipaji naona hapa ndo nyumbani kwake ngoja nifuatilie ucc na ada kama vipi nkaanze kozi yani naipenda na nina hamu kubwa ya kufahamu juu ya hii kozi computer ninayo kwa hiyo mazoezi ntaweza kufanya kwa ukaribu zaid
 
muggyen unataka nini hasa? Academic Knowledge au Expertise?
Kama ni ya kwanza, we do not do it. kama ni later, karibu.
Kujifunza ndani ya miezi mitatu ni possible kukupa ufahamu kama utakuwa serious
Ila kuwa na uwezo wa kufanya inahitaji mazoezi ya kutosha na hii ina tofauti toka mtu hata mtu!
 
Last edited by a moderator:
Shukrani
Ila naweza kujua karibu wapi
 


kaka uwe unaingia some times kucheki mentioning au post quotes ! Alike !

Mana nilicheki last activity yako mara ya kwanza hii thread inaletwa ! Nikaona ni mda kidogo !

Na hata nilivyo mention hapo juu sijui kama ulikuwa notified kwa wakati !

Baadhi wapo wenye uhitaji kama hivi ! Kaka ! Ku log in na kucheki notifications tu inasaidia !

My take !
Good luck
 
Last edited by a moderator:
Sorry nlisahau snipa kama ushanipa info zake
 
kaka uwe unaingia some times kucheki mentioning au post quotes ! Alike !
My take !
Good luck
Shukrani ndugu. Majukumu yanakuwa mengi most of the time.
Nimekuwa busy these days na so adimu kidogo.
Nitajitahidi sana ingawa contact ulizotoa zilitosha kwake kutupata kama angetaka 🙂

Sorry...!
 
Sio kwamba nmeachana na web designing ila muda nilio nao ni.mdogo kwa sasa ila usijali ntawatafuta na ntakuja kwa darasa mkuu
 
Kuusu kipaji naona hapa ndo nyumbani kwake ngoja nifuatilie ucc na ada kama vipi nkaanze kozi yani naipenda na nina hamu kubwa ya kufahamu juu ya hii kozi computer ninayo kwa hiyo mazoezi ntaweza kufanya kwa ukaribu zaid

big up mkuu nimeipenda spirit yako pitia hii web www.W3school.Com kuna kila kitu unachotaka plus www.thenewboston.com kuna video tutorial za kutosha, hamna haja ya course kama unataka kuwa proffesional na sio kupata cheti. for more info just feel free to ask ntakupa muongozo
 
Naomba muongozo mkuu nmekupm mara mbili naomba uangalie inbox yako
 
Asante mkuu ila zingatia mada mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…