getrusa JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 2,150 Reaction score 1,822 Aug 2, 2017 #1 Wadau naomba kujuzwa je kuna kuna eneo au Nchi iliyovunja rekodi ya uanachama wa muda mfupi zaidi wa kuwa mwanachama wa shirikisho la soka Afrika Caf zaidi ya Zanzibar? Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau naomba kujuzwa je kuna kuna eneo au Nchi iliyovunja rekodi ya uanachama wa muda mfupi zaidi wa kuwa mwanachama wa shirikisho la soka Afrika Caf zaidi ya Zanzibar? Sent using Jamii Forums mobile app
Zambotti JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 1,973 Reaction score 3,643 Aug 2, 2017 #2 Ili ujihalalishie kuwa ni Zanzibar sio,ni siasa za maji taka za nchi ya tanganyika ndo zimeyataka haya. ujinga mtupu
Ili ujihalalishie kuwa ni Zanzibar sio,ni siasa za maji taka za nchi ya tanganyika ndo zimeyataka haya. ujinga mtupu
Ally maganga JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 1,433 Reaction score 913 Aug 2, 2017 #3 toka lin mkoa ukawa mwanachama wa caf?