stanleyRuta
JF-Expert Member
- Jul 19, 2014
- 851
- 519
Nyege KuonGezEka ni moJa ya mabadiliko.
KutaFuTa micHepuKo coZ unaHofia kubemenda mtOtO
inatokea hivyo lakini sio sana si muna share kulea wewe na mke wako kwani kuna ubaya wowowte ule?Salaam wana JF.
Naombeni kujulishwa kama kuna mabadiliko ambayo huwa yanajitokeza kiafya endapo mke wake akishika mimba, mfano mwanaume kuumwa ,kujisikia kichefuchefu,kwa ujumla kuwa na dalili za mama mjamzito.
Mamaaaaaaaa! Hii mpya kwangu
Utakua kituko ujue naomba mungu akupitishie mbali kitu kama hii mana mmhmmm!!!!!
Niombee tu kwakweli, ni kituko kweli
ila si ni very rare cases kama hizo??