Je, kuna mabadiliko Mwanaume anaweza kuyapata kipindi mke wake akipata Ujauzito?

Je, kuna mabadiliko Mwanaume anaweza kuyapata kipindi mke wake akipata Ujauzito?

stanleyRuta

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2014
Posts
851
Reaction score
519
Salaam wana JF.
Naombeni kujulishwa kama kuna mabadiliko ambayo huwa yanajitokeza kiafya endapo mke wake akishika mimba, mfano mwanaume kuumwa ,kujisikia kichefuchefu,kwa ujumla kuwa na dalili za mama mjamzito.
 
Nyege KuonGezEka ni moJa ya mabadiliko.
KutaFuTa micHepuKo coZ unaHofia kubemenda mtOtO
 
ni kweli kabisa hizo dalili mkuu as long as kuna kusaidiana kubeba mimba sometimes
 
Salaam wana JF.
Naombeni kujulishwa kama kuna mabadiliko ambayo huwa yanajitokeza kiafya endapo mke wake akishika mimba, mfano mwanaume kuumwa ,kujisikia kichefuchefu,kwa ujumla kuwa na dalili za mama mjamzito.
inatokea hivyo lakini sio sana si muna share kulea wewe na mke wako kwani kuna ubaya wowowte ule?
 
Mmmh mbona ipo sana tu

Aiseeeeee! Ndio vizuri kushare matatizo naimagine utafiti ndio full kula maudongo hapo full kutema tema mate full kumchukia mkeo ilhali ye ndio mjauzito teh teh
 
Last edited by a moderator:
Ni ukweli ipo, lakini sijui kama kwa wanaume wote.
 
Back
Top Bottom