Amandusybest
Member
- Jun 2, 2015
- 18
- 3
Je, kuna madhara gani ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu kama miaka 3/4 kiafya.
Ilihali unaendelea kutekeleza majukumu yako kwa ajili ya kufurahisha maisha baadae, na huna response yoyote ya kufanya mapenzi au kuwa na mahusiano ya aina yeyote kimapenzi.
Sawa kabisa.1: Inawezekana
2: Hakuna madhara
Thread Closed [emoji124][emoji124]
Yap.....hilo ndio swali.!Inawezekana labda kama wewe ni mjanja kiasi uliza inawezekana vipi/sababu!.......... ila madhara hamna!