Je, kuna madhara gani kiafya usipofanya mapenzi kwa muda mrefu?

Je, kuna madhara gani kiafya usipofanya mapenzi kwa muda mrefu?

Ata puchu usipige amna me siwez,..mi wiki mbili ngumu,
Iyo miaka ni potential sana MTU kuoa huwez tunza hisia izo,..watakua na matatizo si bure!
 
Wakubwa polen na majukumu. Naomba niwaulize swali moja kwa moja bila kupoteza muda 1)hivi inawezekana mtoto wa kiume aliyekamilika rijali anakula na kushiba akaweza kufika umri wa miaka 28 hadi 30 bila kufanya mapenzi??? 2)Je kuna madhara yeyote mtoto wa kiume anaweza kuyapata asipofanya mapenz hadi kufikia umri wa hapo juu??maana nimekuwa nikisikia kuwa usipoduu muda mrefu unaweza kuwa gay au impotent tafadhal naomben majbu wakuu

Mapadri wamejaa dunia nzima na Tanzania wapo kila parokia
 
Back
Top Bottom