mwayungi
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,814
- 3,079
Sawa mzee baba1: Inawezekana
2: Hakuna madhara
Thread Closed [emoji124][emoji124]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mzee baba1: Inawezekana
2: Hakuna madhara
Thread Closed [emoji124][emoji124]
Kisaikolojia inakuwaje hayo madharayes inawezekana na haina tatizo la kiafya labda kisaikolojia
Sawa boss nisaidie inawezekana kvp??Inawezekana labda kama wewe ni mjanja kiasi uliza inawezekana vipi/sababu!.......... ila madhara hamna!
Hahahaaaa mimi nmepanga nianze nkifika 28 au 30Inawezekana, hata mimi nilitamani sana, ila nikajikuta nimeanza kwichi kwichi nilipo fika 20... roho inaniumaga kweli kuanza mapema haya mambo
Na,mm natamani niwe hivyo hadi ndoaWapo bwana!!! Wengine wanajitunza mpaka ndoa...
Ndio naikumbukaUnaikumbuka ile "USE AND DISUSE"
Sawa mkuu1.Inawezekana na 2.hakuna madhara ila yakupasa kuwa na moyo wa kishujaa wa kukwepa vishawishi hasa kwenye dunia ya leo
Hapo kibamia ndio nn??Madhala yapo siku akitaka kufanya lazima azime taa sababu ya aibu.
2. Ataogopa nani aanze.
3.anaweza asijue kama ana nguvu za kiume au la!
4.anaweza asijue kama ana kibamia au la!
Hahahaaaa mimi nmepanga nianze nkifika 28 au 30
Too late [emoji23][emoji23][emoji23]Na,mm natamani niwe hivyo hadi ndoa
Asante sana mkuu kumbe inawezekana kabisaAiseee naona ha madhara, tena
Mfano ndio huo[emoji115] [emoji115] aliweza kutuongezea ujuzi.
Conclusion Force = Mass * Acceleration
-callmeGhost
Kwann iwe too late???Too late [emoji23][emoji23][emoji23]
Kivipi mkuu??Haiwezekani na ina madhara kwa %100
Hahahaaaaa,,,,,Ata puchu usipige amna me siwez,..mi wiki mbili ngumu,
Iyo miaka ni potential sana MTU kuoa huwez tunza hisia izo,..watakua na matatizo si bure!
Wakubwa polen na majukumu. Naomba niwaulize swali moja kwa moja bila kupoteza muda 1)hivi inawezekana mtoto wa kiume aliyekamilika rijali anakula na kushiba akaweza kufika umri wa miaka 28 hadi 30 bila kufanya mapenzi??? 2)Je kuna madhara yeyote mtoto wa kiume anaweza kuyapata asipofanya mapenz hadi kufikia umri wa hapo juu??maana nimekuwa nikisikia kuwa usipoduu muda mrefu unaweza kuwa gay au impotent tafadhal naomben majbu wakuu