Je, kuna madhara gani kiafya usipofanya mapenzi kwa muda mrefu?

Je, kuna madhara gani kiafya usipofanya mapenzi kwa muda mrefu?

Yeah inawezekana nina miaka 25 sasa cjaiona live wala kuigusa ya mschana na nipo sawa ,
Piga zoezi mala kwa mala
Kunywa maji mengi
Soma good news (Bible / Qur'an )
Piga manual work
Oga maji baridi
Ukipumzka cheza tournament games
Kucha chakula saaafii
Kwa nilipo fika natoboa mpaka miaka 30 ndiyo nitagusa ya mwanamke
 
Wapo nami ni mmoja sijawahi fanya mapenzi na sasa nna miaka 22
 
Yeah inawezekana nina miaka 25 sasa cjaiona live wala kuigusa ya mschana na nipo sawa ,
Piga zoezi mala kwa mala
Kunywa maji mengi
Soma good news (Bible / Qur'an )
Piga manual work
Oga maji baridi
Ukipumzka cheza tournament games
Kucha chakula saaafii
Kwa nilipo fika natoboa mpaka miaka 30 ndiyo nitagusa ya mwanamke
Nimekunoti mkuu hyo ndo life style yangu,@kingine vijana hawafanyi mazoezi ndo maana wanakua na mihemko mara kwa mara
 
Yeah inawezekana nina miaka 25 sasa cjaiona live wala kuigusa ya mschana na nipo sawa ,
Piga zoezi mala kwa mala
Kunywa maji mengi
Soma good news (Bible / Qur'an )
Piga manual work
Oga maji baridi
Ukipumzka cheza tournament games
Kucha chakula saaafii
Kwa nilipo fika natoboa mpaka miaka 30 ndiyo nitagusa ya mwanamke
Hongera sana mkuu nami napenda hadi nifikie umri wa 28~30
 
Back
Top Bottom