Je, kuna madhara gani kiafya usipofanya mapenzi kwa muda mrefu?

Mimi nilimwona mmoja maana aliwasongelea paka akawa anachungulia jinsi unavyoingia.
 
Sijui watu wengine huko shuleni mlienda kusomea nini??!!! Hakuna madhara ya kufanya abstinence cha msingi kama ushajiamulia kifanya hivyo its very okay...mm nliingia uko at 27 and now i am at my 31st and nothing i found absurd so far
 
Hivi unaamini kama kusoma ndio kila kitu katika,maisha???Elimu haina mwisho ndio maana,nimeuliza ili nipate elimu pamoja na hayo asante kwa ushauri wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…