Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Badili picha hiyo jamani sweetheartNgoja waje waliowahi nawanaofanya ngono.
mmh...so wote wenye akili lazima walifanya ngonoUsipofanya ngono kwa ke ni kukaribisha ugonjwa wa akili
Hujaelewa mantiki yangu, ngoja nikupe mfano wa wanyama majike yakiwa ktk hali ya uhitaji au joto usipomfungulia bandani basi atafanya mbinu zote avunje banda akatafute dume limpandemmh...so wote wenye akili lazima walifanya ngono
aisee.....Mbona mi sIjAwAhI kufanya na niko sawa tu
Mwambie hakuna madhara na sio lazima kufanya
nimeanza kukupata....kwa umbali sanaHujaelewa mantiki yangu, ngoja nikupe mfano wa wanyama majike yakiwa ktk hali ya uhitaji au joto usipomfungulia bandani basi atafanya mbinu zote avunje banda akatafute dume limpande
Heeee unaogopa zombie !!!.Badili picha hiyo jamani sweetheart
Nimelala vby usiku wa Leo sababu ya hiyo pichaHeeee unaogopa zombie !!!.
Kuna kipindi sikupata Hii huduma kwa miezi km nane iv nilisumbuliwa na ivo vipele na kifuani na usoni wakati Nina ngozi laini then baadae huduma ikarudi hiyo hali ikapotea sasa umenikumbusha, asante sanaKuota vipele vipele kama kuku alienyonyolewa sehemu za mgongoni na kifuani hasa kwa wanaume
Hahaahaha umeona eeeee😀Kuna kipindi sikupata Hii huduma kwa miezi km nane iv nilisumbuliwa na ivo vipele na kifuani na usoni wakati Nina ngozi laini then baadae huduma ikarudi hiyo hali ikapotea sasa umenikumbusha, asante sana
Kabisa Hii ilinikutaHahaahaha umeona eeeee😀
[emoji106]Wote wasioshiriki mapenzi wanaongoza kwa magonjwa ya moyo na stroke.
Mapenzi ni tiba mno tena.Kisaikolojia mapenzi humaliza mawazo ikiwa mwenza mpenzi yuko active sana anayajua mapenzi.
Yaaani jamani Mungu atukuzwe kwa zawadi hii nono japo sometime inaleta uchungu ikitumiwa vibaya but by nature mapenzi ni zaidi ya tiba.
Wasiofanya mapenzi wana hasira mno.