Je, kuna madhara gani kiafya usipofanya mapenzi kwa muda mrefu?

ngono ni lazima kufanya?
.
.
.
usipofanya ngono madhara gani utapata???
.
.
hili swali ambalo mtoto wa dada yangu Eva ananiuliza sana..
nimpe jibu gani?
 
mmh...so wote wenye akili lazima walifanya ngono
Hujaelewa mantiki yangu, ngoja nikupe mfano wa wanyama majike yakiwa ktk hali ya uhitaji au joto usipomfungulia bandani basi atafanya mbinu zote avunje banda akatafute dume limpande
 
Hujaelewa mantiki yangu, ngoja nikupe mfano wa wanyama majike yakiwa ktk hali ya uhitaji au joto usipomfungulia bandani basi atafanya mbinu zote avunje banda akatafute dume limpande
nimeanza kukupata....kwa umbali sana
 
Madhara yapo...shauri yako utabaka kuku...tumia kiungo vizuri hicho ulipewa cha nin? alafu kumbuka practice makes perfect
 
Kuota vipele vipele kama kuku alienyonyolewa sehemu za mgongoni na kifuani hasa kwa wanaume
 
Kuota vipele vipele kama kuku alienyonyolewa sehemu za mgongoni na kifuani hasa kwa wanaume
Kuna kipindi sikupata Hii huduma kwa miezi km nane iv nilisumbuliwa na ivo vipele na kifuani na usoni wakati Nina ngozi laini then baadae huduma ikarudi hiyo hali ikapotea sasa umenikumbusha, asante sana
 
Hahaahaha umeona eeeee😀
 
Wote wasioshiriki mapenzi wanaongoza kwa magonjwa ya moyo na stroke.
Mapenzi ni tiba mno tena.Kisaikolojia mapenzi humaliza mawazo ikiwa mwenza mpenzi yuko active sana anayajua mapenzi.
Yaaani jamani Mungu atukuzwe kwa zawadi hii nono japo sometime inaleta uchungu ikitumiwa vibaya but by nature mapenzi ni zaidi ya tiba.
Wasiofanya mapenzi wana hasira mno.
 
[emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…