Nina rafiki yangu ana mtoto wa mwaka na nusu na tangu apate huo ujauzito hajawahi kushiriki tendo la ndoa mpaka sasa. Je, kwa muda aliokaa kuna madhara kiafya?
Nikuulize: kwanini hajashiriki tendo la ndoa? Ameachika au hataki tu.. Anyway; hakuna madhara yoyote kiafya ya kutoshiriki tendo la ndoa KAMA AMEAMUA MWENYEWE! Ila kama alishazoea hyo lishe af akaja kuikosa kwa sababu flani; itamuathiri mno kisaikolojia.. Jambo la kukumbuka tu ni kwamba; kila kitu ni maamuzi