Je, kuna madhara kukaa muda mrefu bila kufanya tendo la ndoa?

Je, kuna madhara kukaa muda mrefu bila kufanya tendo la ndoa?

rorena

Member
Joined
Mar 12, 2015
Posts
39
Reaction score
7
Habari JF Doctor,

Nina rafiki yangu ana mtoto wa mwaka na nusu na tangu apate huo ujauzito hajawahi kushiriki tendo la ndoa mpaka sasa. Je, kwa muda aliokaa kuna madhara kiafya?

Nawasilisha...!
 
Nikuulize: kwanini hajashiriki tendo la ndoa? Ameachika au hataki tu.. Anyway; hakuna madhara yoyote kiafya ya kutoshiriki tendo la ndoa KAMA AMEAMUA MWENYEWE! Ila kama alishazoea hyo lishe af akaja kuikosa kwa sababu flani; itamuathiri mno kisaikolojia.. Jambo la kukumbuka tu ni kwamba; kila kitu ni maamuzi
 
Wana ugomvi na mume wake tangu muda huo. Thanks kwa ushauri..
 
Wana ugomvi na mume wake tangu muda huo. Thanks kwa ushauri..

Mmh jamani ndoa izi ni majanga. hakuna madhala yoyote ila siku wakimaliza ugomvi mwambie wakapime HIV mana mwaka na nusu lzm anamichepuko.
 
kwani tangu alivyozaliwa yeye rafiki yako hadi wanamduu mara ya kwanza kuna madhara alipata....?
 
Back
Top Bottom