Je,kuna madhara uume kubakia katika uke baada ya tendo?

Je,kuna madhara uume kubakia katika uke baada ya tendo?

Ndio huwa nakisafisha.......kama misukari imebakia kwa chin au majani

lazima taste ya maji itakuwa imechakachuliwa!!!!!!!!

Kwanini Usijisafishe!!!!!
Basi inaonyesha huwa unajaza misukali zaidi ya kiwango na majani unaypotumia ni yaleeeeee
 
haya maajabu. Naomba kujibiwa haya
1) Inamaana hamjigeuz?
2) huyu mwanaume inamaana had asubh anakuwa bado amesimamisha?la sivyo mkimalza inasinyaa na kutoka yenyewe.
3) hata hamjisafish?
 
hcho ktu mbona ni kama ndoto? Pia madhara hayawez kuwapo kama kweli inakutokea, may be kama hujavaa condom na ikatokea bleeding, kiafya yaweza sababsha kuambukzana magonjwa ya znaa iwapo anayo. Ila kwamba utapata madhara cdhani
 
jamani, hii kitu ni UONGO!!! ile kitu ikinywea tu INATOKA YENYEWE...sasa ukidai wailaza ndani hadi asbh unataka kumdanganya nani? ACHENI UCHAFU HAMJAWA WANYAMA NYIE...KHA!!!! kinyaa!!!!
 
I cant aisee, yaani huyo mhusika nikikaribia tu kumaliza tayari ana towel yake ameihifadhi karibu karibu kabisa ni usafi unaanza kwa kwenda mbele (sijui kuwa huu ni uchafu) hahahhaaaaa haya wewe loweka tu kama ulidhania ni mahindi hayo
 
Ni bora utujuze huwa unaiweka tundu ipi yambele au nyuma kama ni ya nyuma haina mathara yoyote endelea tu
 
Cjawahi ona madhara, for the past 5 years, ukishakaa dkk chache inanywea inatoka yenyewe, kufika asb Ni impossible mission

Jamaa amejaliwa kweli kitu kikinywea kinakuwa inch 7 au urefu wa kijiko kikubwa sasa kwanini kisibaki ndani, sijui kikisimama kimekasirika kinakuaje nadhani kinaweza hata kumnyanyua mrembo kabisa

cc: jamiif
 
Last edited by a moderator:
mnachekesha kwel. Kati ya watu wachafu nahisi nyie mnaongoza. Sijawahi ona maisha yangu
 
Jamaa amejaliwa kweli kitu kikinywea kinakuwa inch 7 au urefu wa kijiko kikubwa sasa kwanini kisibaki ndani, sijui kikisimama kimekasirika kinakuaje nadhani kinaweza hata kumnyanyua mrembo kabisa

cc: jamiif

Hahahahaha... kweli mna mambo!
 
Last edited by a moderator:
Basi inaonyesha huwa unajaza misukali zaidi ya kiwango na majani unaypotumia ni yaleeeeee


Wengine wanatumia majani family size au wengine tunaunguza sukari, wewe unatumia majani yako yale ya kithungu ndio maana husuuzi kikombe
 
Inaonyesha kuwa huyo bi dada anakuwa hajafikia kileleni,
anakuwa na hamu bado, na ulivyokuwa mvivu ukimaliza kimoja ndo kulala fofofoo mpaka asubuhi;


Jitahidi kumrizisha mwenzio acha uvivu.
 
hahahahaha! Acheni kutuzingua, kulala gan huko hata kujigeuza hamna? Mmmmh! Ila inawezakua kweli kama jamaa umevishwa pete kwa dudu hahahahaha EXTRA EXTRA MAPENZI
 
Basi inaonyesha huwa unajaza misukali zaidi ya kiwango na majani unaypotumia ni yaleeeeee

mie natumia majani yaleeeee....hayo sijui ya tea bag siijui hata ladha yake......

sukari huwa nakuwa kilombero kwa mda wakati nanywa chai!!!!!!
 
x-girlfriend wangu amekuwa aking'ang'ania uume kubakia katika uke wake kila baada ya tendo hadi kupitiwa na usingizi nakujikuta hadi asubuhitupo vilevile, je, kunamadhara yeyote katika hili? msaada wenu tafadhari

Mabwakuuuu!!!....wewe na x-gelufrendi bado mnalalana?
 
cheka kwa nguvu tu veronica mihenga watu wanafkria the impossibles na kujarbu kuchagiza akili za watu hapa.
 
Last edited by a moderator:
hii ni kali kuliko maana hautakuwa uume bali mpini ukiwa umesimama na ukiwa haujasimama hauna tofauti
 
Ha ha ha haumrizishi ndo maana anataka ubaki umo umo,yani hapo katikati haudindi tena yani mpaka asubuh? Nenda kaongeze nguvu za kiume.
 
Back
Top Bottom