Je,kuna madhara uume kubakia katika uke baada ya tendo?

Je,kuna madhara uume kubakia katika uke baada ya tendo?

kwi kwi kwi....hamjigeuzi ucku kucha?? Wamlalia mpk jua lachomoza au mwakaa stail gani mpaka panakucha mmegandiana kama sumaku!!!
 
I support you Ngoshas hiyo uongo labda umlalie juu usiku mzima na je ataimili uzito baada ya tendo?
Cjawahi ona madhara, for the past 5 years, ukishakaa dkk chache inanywea inatoka yenyewe, kufika asb Ni impossible mission
 
Hio inaitwa mgando style! Unaweza lala kidogo kama 1 hr ukiamka unaendelea tena ila yako ya kulala mpaka asubuhi kali
 
Kwanza ni uongo mtupu. Hata uwe na refu kama nyoka lazima itoke to maana lazima mtajigeuza. Watu hawalali kama magogo.
 
mmmh hii nayo ya mwaka yan kitu kinazama mpaka morning,mnajiweza
 
Me ndo yule nimerudi tena. Leti sasa maswali yenu mpate majibu ya uhakika..
 
Naomba nimsaidie mleta hoja kwa kuwa mmeamua tu kumsakama. Wanafanya kwa mtindo wa "kama wakati mama ni mjamzito." Kwani huwa tuna mlalia tumbo?? Nyie vipi?? Kuhusu kubakia humo, tatizo liko wapi??? Kama mjomba huwa anawahi mapema kidogo kabla x gf hajaja unaiacha huko na xgf akijisikia kitu kinate.ke.n.ya ndani nayo hiyo ina raha yake bwana. Kama weye haijakutokea usifikiri hili halipo. Lipo. Kuhusu kufuta na kufutwa si lazima haraka sana huwa wengine wanakamua ng'ombe mpaka tone la mwisho liishie kwa "ndoo" au vipi banaa. Tukitoka twenda kuoga.
Pia ka ndoo haina harufu mbaya, kuoga haraka ya nini nami nipo kwangu, chewing gum ni yangu niitupe haraka ya nini? Mbona Sir Alex anaitafuna tangu mwanzo wa mpira mpaka mwisho? Kama hakuna harufu sitaki anifute haraka. Kwa herini
 
Hivi fundi umeme akishatengeneza umeme kwenye dari anatakiwa kushuka au analala huko huko?
 
hii mpyaa...wewe una uume au liiuumee...?
 
Nimecheka sana....lakini waungwana tukubali kuwa ufundi tunatofautiana...sio kila kitu unajua wewe, wenzio wamepiga hatua moja mbele......!
 
The only reason i seek political office is acid rain is killing cows and melting ice is endangering the life of penguins.
 
Back
Top Bottom