Je, kuna madhara ya kunywea dawa na maji ya baridi?

Je, kuna madhara ya kunywea dawa na maji ya baridi?

Kobaba

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
492
Reaction score
342
Naomba kujuzwa tafadhali, kama kuna athari yoyote kwa mgonjwa kunywa dawa kwa kutumia maji ya baridi (yaani maji yaliyotoka kwenye JOKOFU)

......... Msaada tafadhali.
 
Siyo kwa ajili ya kunywea dawa tu bali hata kwa kuyanywa tu maji ya baridi hayafai. Kunywa tu maji ya kawaida. Kwa maelezo zaidi bofya hapa.
 
Hi JF doctors. Mara nyingi nimekuwa nikiambiwa siruhusiwi kunywa dawa Kwa maji baridi but sijawahi kujua reason behind.

Mwenye uelewa wa hili naomba majibu.
 
kikawaida dawa yenyewe kabla ya kula tayar ina melting point na boiling point that means high temp pamoja low temp kwa hio unapomeoza dawa kwa kinywaji barid inapelekea ile high temp ya vile vidonge visiwiane na melting poin ya maji hapo hapo no feedback hata kama utameza ova doz at the same time no reaction
 
Mchanganyiko huo wa maji na dawa hukaa kwenye tumbo kwa muda wa dakika 20 (kama chakula na vinywaji vingine). Kwahiyo ndani ya dakika 5 maji yameshapashwa joto na kufikia jito la kwenye tumbo (stomach temperature), hakuna madhara yeyote unayoweza kupata ya kiafya. Mwili huweza kuvumilia kiasi kikubwa cha utofauti wa hali mbalimbali.

Mwili hutumia nguvu ili kuweza kupasha joto maji, kwahiyo ni vizuri kutumia maji ambayo yamepoa kumezea dawa zako ili kuupunguzia mwili kazi ya kuyapasha joto maji kama yatakua ya baridi, maana dawa huhutaji joto mwili fulani ili kuweza kumeng’enya na kuifanya dawa ipenye kwenye kuta za tumbo kirahisi kuingia kwenye damu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom