kikawaida dawa yenyewe kabla ya kula tayar ina melting point na boiling point that means high temp pamoja low temp kwa hio unapomeoza dawa kwa kinywaji barid inapelekea ile high temp ya vile vidonge visiwiane na melting poin ya maji hapo hapo no feedback hata kama utameza ova doz at the same time no reaction
Mchanganyiko huo wa maji na dawa hukaa kwenye tumbo kwa muda wa dakika 20 (kama chakula na vinywaji vingine). Kwahiyo ndani ya dakika 5 maji yameshapashwa joto na kufikia jito la kwenye tumbo (stomach temperature), hakuna madhara yeyote unayoweza kupata ya kiafya. Mwili huweza kuvumilia kiasi kikubwa cha utofauti wa hali mbalimbali.
Mwili hutumia nguvu ili kuweza kupasha joto maji, kwahiyo ni vizuri kutumia maji ambayo yamepoa kumezea dawa zako ili kuupunguzia mwili kazi ya kuyapasha joto maji kama yatakua ya baridi, maana dawa huhutaji joto mwili fulani ili kuweza kumeng’enya na kuifanya dawa ipenye kwenye kuta za tumbo kirahisi kuingia kwenye damu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.