Heshima kwenu!
Kwa madaktari mliopo humu, je kuna madhara ya kupaka mate kwenye uke wakati wa kufanya mapenzi!?? Wanawake wengine huwa ni wakavu ! Hivyo mate hutumika kama kilainishi
Kuna madhara ndio kwa sababu ratu.
1.mate sio kilainishi rafiki baina ya ngozi na ngozi,ukiisugua ngozi kwa ngozi katika kilainishi cha mate basi mate hayo kwa muda mfupi mtelezo huondoka,tofauti na vilainishi vingine.
2.ukiona mate yanateleza basi ujue ni machafu ama ni makohozi,sidhani kama mate ya kawaida unaweza kuyatumia kama kilainishi.
Mara nyingi mate yenye mfumo kama wa udenda ndo hutumika kama kilainishi.
Ukitaka kuona hivyo piga mswaki vizuri kila sehemu ya mdomo uwe msafi usile kitu alafu tafuta hayo mate ambayo yatakuwa yanateleza.
3.mate ni kimiminika ambacho kipo mdomoni na kinakuwa kina bakteria ambao wengine hutokana na chakula na wengine labda uchafu wa mdomo tu.
Sasa unapopaka uume mate yako maana yake bacteria unawahamisha kutoka kwenye mdomo ,kwenda kwenye uume na hatimae ukiingiza uume ukeni na wale bakteria wa uumeni wanaenda huko ukeni.
Jambo hili hufanya bakteria kuhamia mdomoni kwenda ndani ya uke,na kama tunavyojua uke uko mlaini na hauna dogo.
Hapa ndio matatizo ya fangasi haziishi kwa wanawake,miwasho isiyo na sababu haiishi,miongoni mwa sababu ni kama hizi.