Je, kuna madhara ya kupaka mate kwenye uke!?

Je, kuna madhara ya kupaka mate kwenye uke!?

100% ya wanawake hakuna anaependa kupakwa mimate ukeni wakati wa mgegedo inakata stim sana...muandae mpnz wako atoe ute mta enjoy sana kama n mkavu mwambie anywe maji mengi, bamia na matikiti maji yana saidia sana kwenye vichocheo vya mapenzi...pia ucmkulupue kufanya sex muandae kimwili na kiakili....binafsi nakelekwa na iyo tabia
kwahyo kabla hatujaanza kunjunjana nimshindilie mimaji na mitikiti maji?...

hajakaa vizuri namtandika na mibamia au sio doctor manjunju?...

Naomba option ingine doctor otherwise sina namna...
 
Kuna madhara ndio kwa sababu ratu.

1.mate sio kilainishi rafiki baina ya ngozi na ngozi,ukiisugua ngozi kwa ngozi katika kilainishi cha mate basi mate hayo kwa muda mfupi mtelezo huondoka,tofauti na vilainishi vingine...
Na kunuka uchi pia inachangiwa...
 
Kuna madhara ndio kwa sababu ratu.

1.mate sio kilainishi rafiki baina ya ngozi na ngozi,ukiisugua ngozi kwa ngozi katika kilainishi cha mate basi mate hayo kwa muda mfupi mtelezo huondoka,tofauti na vilainishi vingine...
kwa hiyo mwamba tufanyeje?

halafu acha kutisha maraia...
 
kwahyo kabla hatujaanza kunjunjana nimshindilie mimaji na mitikiti maji?...

hajakaa vizuri namtandika na mibamia au sio doctor manjunju?...

Naomba option ingine doctor otherwise sina namna...
Hahahah hapana mkuu muandae atoe ute usimpake mimate....nadhani kama unampnz wako wa mda mrefu lazima ujue sex fantasy zake mchezee fresh zen ingia mzigoni
 
Naelewa hilo lakini hata kwenye real life kuna KE wenye hilo tatizo la kutokuwa wet kirahisi rahisi hata baada ya fore play hivyo ukiondoa vilainishi vya kununua kama vile KY mimate pia hutumika ili kunogesha mchezo
[emoji12] na kuna wapaka mimate ili kulainisha na kuna wanyonyaji ili kuwapa raha wenzi wao na pia kulainisha [emoji12]
Ila mkuu we mpake tu mimate lkn hakuna anae penda jaman bora ata ky japo kilainishi chochote kile kina kata stim mwanamke hawezi fika orgasm kwa kilainishi out of ute wake mwenyew....
 
😂😂😂😂😂

Ila mkuu we mpake tu mimate lkn hakuna anae penda jaman bora ata ky japo kilainishi chochote kile kina kata stim mwanamke hawezi fika orgasm kwa kilainishi out of ute wake mwenyew....
 
Heshima kwenu!

Kwa madaktari mliopo humu, je kuna madhara ya kupaka mate kwenye uke wakati wa kufanya mapenzi!?? Wanawake wengine huwa ni wakavu ! Hivyo mate hutumika kama kilainishi
Uke una mate ya asili haina haja ya kupaka mate, kama ni mkavu basi nenda hospitali kwa matibabu au ushauri wa kidaktari
 
Ila mkuu we mpake tu mimate lkn hakuna anae penda jaman bora ata ky japo kilainishi chochote kile kina kata stim mwanamke hawezi fika orgasm kwa kilainishi out of ute wake mwenyew....
Wengine hutumia mafuta ya kujipakaa mwilini
 
Haitakiwi
Tunatumia hizo vitu mbadala kwasababu kunawengine huwa wapo karibu kweli kutokwa na huo ute ukimshika mahala2 na kumnyonya matiti ute huo unafanya yako unatembea lakini pisi zingine hata ufanye kitu aina gani hutakaa uone ute wala jasho kwenye uke sasa ndo hao sisi hutumia vitu visivyo sahihi
 
Ila kuna wadada wanawahi kukauka yani anatoa ute fresh then mkianza kufanya dakika 10 tu unakuta amekauka kabisa mpaka unachubuka sasa hapo ndo mimate inapoingilia kati, sometimes ishu sio kwamba humuandai mimi nadhani baadhi ya wadada wana hio shida ya kuwahi kukauka.
 
Sasa pale pale unapomuandaa na ameshalainika huwa unafanya Nini dakika zote hizo kumi mpaka anakauka Tena?

Hayo manjonjo ya ziada ndo huwa yanawafelisha.

#LeoKamaSinaMudiVile?AmaNimeguswaPabaya😆😆😆
 
Back
Top Bottom