Je, kuna madhara yeyote watoto kutumia pempasi?

Je, kuna madhara yeyote watoto kutumia pempasi?

Sozo_

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2022
Posts
776
Reaction score
1,132
Wadau nimekutana na hii video mama huyu akiwa anaongea mengi ila mojawapo ni hili la kuhusu uvaaji wa pempasi kwa watoto.

Je hili ni janga au ni kukosa elimu sahihi kuhusu matumizi ya pempasi? Ninawafahamu wazazi kadhaa hawataki kabisa kusikia hii kitu kuhusu pempasi.

Naamini humu tuna wataalamu wa afya na wenye mifano hai juu ya hili.
Karibuni
 
Back
Top Bottom