Sozo_ JF-Expert Member Joined Jun 12, 2022 Posts 776 Reaction score 1,132 Sep 25, 2022 #1 Wadau nimekutana na hii video mama huyu akiwa anaongea mengi ila mojawapo ni hili la kuhusu uvaaji wa pempasi kwa watoto. Je hili ni janga au ni kukosa elimu sahihi kuhusu matumizi ya pempasi? Ninawafahamu wazazi kadhaa hawataki kabisa kusikia hii kitu kuhusu pempasi. Naamini humu tuna wataalamu wa afya na wenye mifano hai juu ya hili. Karibuni Your browser is not able to display this video.
Wadau nimekutana na hii video mama huyu akiwa anaongea mengi ila mojawapo ni hili la kuhusu uvaaji wa pempasi kwa watoto. Je hili ni janga au ni kukosa elimu sahihi kuhusu matumizi ya pempasi? Ninawafahamu wazazi kadhaa hawataki kabisa kusikia hii kitu kuhusu pempasi. Naamini humu tuna wataalamu wa afya na wenye mifano hai juu ya hili. Karibuni Your browser is not able to display this video.