incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Unaweza kugundua kinywaji muruaaa ambacho wewe ndio ukawa founder wa kinywaji may be kikaitwa bineg yaani bia na energy au kikaitwa B&G AU BE. HUJAPIGA HELA HAPO ILA UACHE TAMAA USIUZE BEI GHALI SASAA [emoji3]Habari wakuu, kuna kapepo ka ulevi kamenivagaa kakuchanganya Kvant na mo energy yaani yaani imekuwa kama utamaduni kwangu karbia kila mda nikijskia kupiga gambe huwa nafanya haya mazoea nahis kuna namna nafubaza nguvu ya K vant, Lakini pia inapunguza ukali wake kooni, Wataalam kuna shida yoyote hapa??
Madhara yake ni huo utamu tamu.. hali hyo upelekea kunywa kiwango kikubwa mpka kuzimika na kuvunjiwa yai.Habari wakuu,
Kuna kapepo ka ulevi kamenivagaa kakuchanganya Kvant na mo energy yaani yaani imekuwa kama utamaduni kwangu karbia kila muda.
Nikijskia kupiga gambe huwa nafanya haya mazoea nahisi kuna namna nafubaza nguvu ya K vant, Lakini pia inapunguza ukali wake kooni, Wataalam kuna shida yoyote hapa?
Unafiki mbaya SanaNI HERI KUNYWA DAMU YA YESU MAANA HIYO NI MAJI YA UZIMA HAUTAYUMBA YUMBA KAMWE UTEMBEAPO HATA USIMAMAPO NA ADUI HAUTATIKISIKA WEWE WALA KUYUMBA
Huo ni uhuni.Hicho kiwanda cha pombe kingekuchanganyia hukohuko kama kungekuwa na umuhimu.Tumia kilivyo bila kuchanganya.Habari wakuu,
Kuna kapepo ka ulevi kamenivagaa kakuchanganya Kvant na mo energy yaani yaani imekuwa kama utamaduni kwangu karbia kila muda.
Nikijskia kupiga gambe huwa nafanya haya mazoea nahisi kuna namna nafubaza nguvu ya K vant, Lakini pia inapunguza ukali wake kooni, Wataalam kuna shida yoyote hapa?
Sijawahi kumuona mtu akilewa akakubali kwamba kalewa.Nikijua leo ntalewa sn,afu ntadrive mwnyw
Lazima nimix pombe na energy ili nisije poteza umakini barabarani, Na kweli nakua active sana utadhani sijalewa pombe[emoji4]
ILA UNAJUA YESU NI KABILA LA YUDAUnafiki mbaya Sana
Yuda wee ulimsaliti yesu,
sahv ndo unajifanya kumtetea[emoji4]
Mbona unaenda mbali sana, yani hata usipochanganya kila kimoja kina madhara.Habari wakuu,
Kuna kapepo ka ulevi kamenivagaa kakuchanganya Kvant na mo energy yaani yaani imekuwa kama utamaduni kwangu karbia kila muda.
Nikijskia kupiga gambe huwa nafanya haya mazoea nahisi kuna namna nafubaza nguvu ya K vant, Lakini pia inapunguza ukali wake kooni, Wataalam kuna shida yoyote hapa?
Duh hio mixa yake sasa!!
Atasimamisha kutwa nzima, afe na kijela...Duh hio mixa yake sasa!!