Je, kuna madhara yoyote kwa kuchanganya pombe na energy?

Je, kuna madhara yoyote kwa kuchanganya pombe na energy?

anza kunywa liqueur kama shida ni radha maana liqueur zinakuwa na radha moja kwa moja na sio kali kihivyo,pia hiyohiyo liqueur unaweza kumix na kinywaji chengine ila heri ukamix chenye radha kama hiyo liqueur hapo ndo hutasikia kabisa ni kulewa tu!..

moja kati ya liqueur nayoikubali ni frangelico! ina radha ya vanilla ila sasa kwenye liqueur lazima uwe namfuko kaka sio ujibanebane!!..
pombe inataka mtu mwenye pesa ambae umeshafanya maendeleo then unaanza kula mafanikio nje na hapo ni kulazimisha starehe tu!.. we unakuta mtu anakunywa double kick! aisee..
 
Nikijua leo ntalewa sn,afu ntadrive mwnyw
Lazima nimix pombe na energy ili nisije poteza umakini barabarani, Na kweli nakua active sana utadhani sijalewa pombe[emoji4]
Pombe inapunguza Nguvu na umakini
Energy inaongeza Nguvu na umakini

Ukinywa pombe yenye mchanganyiko wa energy, utalewa ila kwa kuchelewa sana

Pia hata ukilewa, bado utakua na nguvu
Sahihi mkuu hii Ft ni bonge moja la flaviour
 
Back
Top Bottom