Je, kuna madhara yoyote ya kula nyama ya kuku wa kisasa kwa muda mrefu?

carnage21

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2023
Posts
591
Reaction score
1,382
Habari zenu wana JF,

Mojawapo ya chakula kinachotumika na idadi kubwa ya watu hasa mijini ni nyama ya kuku wa kisasa.

Je, kuna madhara yoyote ambayo mtu anaweza kupata baada ya utumiaji wa hiki chakula kwa muda mrefu?

karibuni!
 
Mie nakula kila kitu. Madhara yatajiju...

Farwats-kitchen-1024x640.jpg
 
Mwanaume kuanza dalili za matit kama jinsi ke,wakike kuota ndevu, mwili kuonekana una umrii mkubwa au kuwahi kuzeeka pia mambo ya kiume kwa mwanaume kushindkana etc.
Any way, kwann usitumie wakienyeji?
 
Sehem kama Dar kuku wa kienyeji ni adimu sana......
 
zina mahusiano na nguvu za kiume???
Nimecheka kwa sauti sana... Ukitaka kumnyima mwanaume kitu mwambie kinamaliza nguvu za kiume, na ukitaka akipende ambacho hakukipenda kabla basi mwambie kinasaidia nguvu za kiume!

Jamaa jibu la kwanza tu tayari amevurugwa hahahaaa
 
Habari zenu wana JF,

Mojawapo ya chakula kinachotumika na idadi kubwa ya watu hasa mijini ni nyama ya kuku wa kisasa.

Je, kuna madhara yoyote ambayo mtu anaweza kupata baada ya utumiaji wa hiki chakula kwa muda mrefu?

karibuni!
Wanakuzwa na madawa na wewe ukila unakula yale madawa ambayo hasa hujikusanya kwenye ngozi na mifupa..
 
Habari zenu wana JF,

Mojawapo ya chakula kinachotumika na idadi kubwa ya watu hasa mijini ni nyama ya kuku wa kisasa.

Je, kuna madhara yoyote ambayo mtu anaweza kupata baada ya utumiaji wa hiki chakula kwa muda mrefu?

karibuni!
SAS wazungu ,wachina Wao wanakula Muda wote kipindi chote

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom