Je, kuna madhara yoyote ya kula nyama ya kuku wa kisasa kwa muda mrefu?

Je, kuna madhara yoyote ya kula nyama ya kuku wa kisasa kwa muda mrefu?

Motivation speaker for eating fake chickens "broilers" [emoji16]
Tena inaonesha hataki kukubaliana (anataka kuchallenge) na majibu yanayotolewa. Kitu chenye mlango mmoja pekee ni Pepo na Moto tu, kwamba mlango ni kifo tu basi! Vilivyobakia vina milango mingi kwahiyo usiseme mbona kitu fulani ni hivi lakini haijawa namna hii... Nadhani mtoa mada umenielewa
 
Madhara yapo mengi kiafya.
1.unapunguza uwezo wako wa kufkiri maana kuku hao hupewa dawa nyingi zenye madhara kwa binadamu pia kwa kuku wenyewe ndo maana mda wote unawakuta wamesinzi kama mateja jiulize kama kuku huyo utamla wewe utakuwaje??
2.kupunguza nguvu za kiume,kuku hao mpaka wa kuwe wanapewa dawa nyingi,ARV PIAna nyingine kibao,
3.kubadilisha mfumo wa homoni kwa mwanamke piano mwanaume
 
Nikila hicho kitu natapika hapo hapo
 
Back
Top Bottom