bern chuwa
Member
- Jun 30, 2016
- 6
- 0
Hivi kumbe mate huliwa...Wewe Kula Mate tu unahofia Nini??
meno yanaweza pata infection ya bacteria wa upande wa pili!Habarini wanajukwaa,
Naomba kuuliza kama kuna madhara yoyote ya kunyonyana mate (denda) kama zipo ni zipii?
Nawasilisha.
MziziMkavu ruwa hebu tufafanulieni hapaUkimwi,hepatiti 8,fungus,ebola,kipindupindu,kuhara na kuharisha,maumivu ya tumbo,kuoza bandama etc
kula denda na mpenzi wako ikiwa kama mumesha pima maradhi hakuna madhara kabisa