Je kuna mbadala wa (Scrotum) Nervous na nini chanzo cha huu ugonjwa?

Mojojo

Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
39
Reaction score
39
Habari zenu ndugu wana jamvi kuna ndugu angu amepatwa na hili tatizo la kupata maumivu makali sehemu za mfuko wa korodani kuuma hali inayosababishwa na mirija ya kutoa damu iliyokwisha tumika kwenye test (korodani) kutosukuma damu vizuri baada ya kuwa imeisha tumika hivyo kupelekea maumivu makali yanayosababishwa na damu ilijikusanya.

Njia pekee iliyopendekezwa na daktari ni opretion kwa anayejua chanzo na tiba mbadala nje ya operation atusaidie?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nitafute mimi niapte kukutibia hayo maradhi yako ya (SCROTUM)NERVOUS DISEASES upate kupona ukiweza nitafute kwa wakati wako.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…