Mojojo
Member
- Jun 7, 2017
- 39
- 39
Habari zenu ndugu wana jamvi kuna ndugu angu amepatwa na hili tatizo la kupata maumivu makali sehemu za mfuko wa korodani kuuma hali inayosababishwa na mirija ya kutoa damu iliyokwisha tumika kwenye test (korodani) kutosukuma damu vizuri baada ya kuwa imeisha tumika hivyo kupelekea maumivu makali yanayosababishwa na damu ilijikusanya.
Njia pekee iliyopendekezwa na daktari ni opretion kwa anayejua chanzo na tiba mbadala nje ya operation atusaidie?
Sent using Jamii Forums mobile app
Njia pekee iliyopendekezwa na daktari ni opretion kwa anayejua chanzo na tiba mbadala nje ya operation atusaidie?
Sent using Jamii Forums mobile app