BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Jirani na Offisi za kampuni ya Reopard tours kuna shule ya nsingi Kijenge, hii ni shule ya Umma, na unasemekana eneo ablo Leopard wamejenge jengi jipya lilikuwa eneo la shule na sijui nani aliwauzia.
Sasa cha kushangaza ni kwamba ndani ya compaund8 ya shule ya msingi kijenge ndio imekuwa parking ya magari ya Leopard, ukipita Barabarani unaona kabisajinsimagari ya Leopard yalivyo jazana kwenye compaund ya shule.
Na baada ya mwamzo Shule kiporwa eneo na ha9 hao Leopaerd sasa kama haitoshi i aonekana wanataka kuchukua shule nzima na wameanza kwa kuige8za kuwa parking yao na huenda hii ni mind game ili raia wazoee pole pole.