Je, kuna mtu alishawahi kutajirika kwa kubashiri

Bertha Kakete

Member
Joined
Oct 7, 2023
Posts
7
Reaction score
15
Hakuna atakayetajirika kwa kubashiri tuseme ukweli. Ndio, unaweza kushinda wakati mwingine, lakini ukijaribu kutafuta njia ya kupata utajiri kupitia michezo ya kubashiri sio! Ni njia nzuri ya kupata umasikini ikiwa wewe ni tajiri.

Unatakiwa kuchukulia michezo ya kubashiri kama jambo la kujiburudisha, na sio njia ya kupata pesa! Kwangu mimi huwa naichukulia kama burudani nikiwa natambiana na marafiki zangu kwa kuonyeshana nani ameshinda pesa zaidi hasa pale tukiwa tunaangalia mechi ambayo haituhusu Huwa tunaweka majamvi ili kunogesha
 
FB_IMG_17002549240044121.jpg
 
Sijawahi kuamini katika msemo wa eti Fanya Betting kama burudani.

Hivi burudani ni nini? Kuiweka hela yako unaona inateketea ndiyo burudani yenyewe?

Betting ni biashara. Weka mtaji wako, ukiamini utashinda ama mara nyingine kuambulia hasara.

Burudani zipo, ila betting siyo burudani. Betting ni biashara ngumu sana.
 
Hakuna atakayetajirika kwa kubashiri tuseme ukweli. Ndio, unaweza kushinda wakati mwingine, lakini ukijaribu kutafuta njia ya kupata utajiri kupitia michezo ya kubashiri sio! Ni njia nzuri ya kupata umasikini ikiwa wewe ni tajiri.

Unatakiwa kuchukulia michezo ya kubashiri kama jambo la kujiburudisha, na sio njia ya kupata pesa! Kwangu mimi huwa naichukulia kama burudani nikiwa natambiana na marafiki zangu kwa kuonyeshana nani ameshinda pesa zaidi hasa pale tukiwa tunaangalia mechi ambayo haituhusu Huwa tunaweka majamvi ili kunogesha
King Solomon

Mfalme Suleimani

Ndio alikua mbashiri tajiri wa Dunia nzima kwa wakati wake alichoshindwa kubashiri ni siku yake ya kufa tu basi
 
Ulitaka uwaone wapi hao waliotajirika JF? Sio kila kitu lazima mupate wote kuanzia kilimo,ajira za serikali nk...kaka yangu amelima ufuta zaidi ya miaka 5 ila hajawahi kupata hata gunia 4 kwa msimu na huwa analima kila msimu zaidi ya heka 20 ila anaangukia pua kwahiyo kwakuwa yeye anakosa tuseme kilimo hakilipi?
 
Umesema Jambo la maana sana sio kilimo tu hata Biashara kuna watu wanafirisika kabisa wakati upande wa Pili kuna mtu anatanua wigo wa kampuni yake kwa kufungua matawi kila mkoa
 
Uko sahihi kabisa hata kama wanakubishia. Kuna msemo unasema HAKUNA ALIYETAJIRIKA KWA KAMALI AU BETTING ILA KUNA WENGI WAMEFILISIKA SABABU YA KAMALI

Huwezi kurajirika kwa kubashiri ila wenye biashara za kubashiri nduo hutajirika
 
Hakuna jambo duniani mutapata wote mfano angalia watu wanavyoenda jkt huku wanatoa rushwa na wengine wanarudishwa makwao kwa kumaliza mikataba huko jkt
 
Hakuna atakayetajirika kwa kubashiri tuseme ukweli. Ndio, unaweza kushinda wakati mwingine, lakini ukijaribu kutafuta njia ya kupata utajiri kupitia michezo ya kubashiri sio! Ni njia nzuri ya kupata umasikini ikiwa wewe ni tajiri.

Unatakiwa kuchukulia michezo ya kubashiri kama jambo la kujiburudisha, na sio njia ya kupata pesa! Kwangu mimi huwa naichukulia kama burudani nikiwa natambiana na marafiki zangu kwa kuonyeshana nani ameshinda pesa zaidi hasa pale tukiwa tunaangalia mechi ambayo haituhusu Huwa tunaweka majamvi ili kunogesha
One in a million...
 
Uko sahihi kabisa hata kama wanakubishia. Kuna msemo unasema HAKUNA ALIYETAJIRIKA KWA KAMALI AU BETTING ILA KUNA WENGI WAMEFILISIKA SABABU YA KAMALI

Huwezi kurajirika kwa kubashiri ila wenye biashara za kubashiri nduo hutajirika
Kama nani waliofilisika kwa kamari?
 
Hakuna atakayetajirika kwa kubashiri tuseme ukweli. Ndio, unaweza kushinda wakati mwingine, lakini ukijaribu kutafuta njia ya kupata utajiri kupitia michezo ya kubashiri sio! Ni njia nzuri ya kupata umasikini ikiwa wewe ni tajiri.

Unatakiwa kuchukulia michezo ya kubashiri kama jambo la kujiburudisha, na sio njia ya kupata pesa! Kwangu mimi huwa naichukulia kama burudani nikiwa natambiana na marafiki zangu kwa kuonyeshana nani ameshinda pesa zaidi hasa pale tukiwa tunaangalia mechi ambayo haituhusu Huwa tunaweka majamvi ili kunogesha
Acha maneno maneno mkuu
Leta code tuweke mkeka 🤪
 
yaani unabeti buku, halafu ukiliwa utasema umefilisika?
 
Back
Top Bottom