Bertha Kakete
Member
- Oct 7, 2023
- 7
- 15
King SolomonHakuna atakayetajirika kwa kubashiri tuseme ukweli. Ndio, unaweza kushinda wakati mwingine, lakini ukijaribu kutafuta njia ya kupata utajiri kupitia michezo ya kubashiri sio! Ni njia nzuri ya kupata umasikini ikiwa wewe ni tajiri.
Unatakiwa kuchukulia michezo ya kubashiri kama jambo la kujiburudisha, na sio njia ya kupata pesa! Kwangu mimi huwa naichukulia kama burudani nikiwa natambiana na marafiki zangu kwa kuonyeshana nani ameshinda pesa zaidi hasa pale tukiwa tunaangalia mechi ambayo haituhusu Huwa tunaweka majamvi ili kunogesha
Umesema Jambo la maana sana sio kilimo tu hata Biashara kuna watu wanafirisika kabisa wakati upande wa Pili kuna mtu anatanua wigo wa kampuni yake kwa kufungua matawi kila mkoaUlitaka uwaone wapi hao waliotajirika JF? Sio kila kitu lazima mupate wote kuanzia kilimo,ajira za serikali nk...kaka yangu amelima ufuta zaidi ya miaka 5 ila hajawahi kupata hata gunia 4 kwa msimu na huwa analima kila msimu zaidi ya heka 20 ila anaangukia pua kwahiyo kwakuwa yeye anakosa tuseme kilimo hakilipi?
Hakuna jambo duniani mutapata wote mfano angalia watu wanavyoenda jkt huku wanatoa rushwa na wengine wanarudishwa makwao kwa kumaliza mikataba huko jktUmesema Jambo la maana sana sio kilimo tu hata Biashara kuna watu wanafirisika kabisa wakati upande wa Pili kuna mtu anatanua wigo wa kampuni yake kwa kufungua matawi kila mkoa
One in a million...Hakuna atakayetajirika kwa kubashiri tuseme ukweli. Ndio, unaweza kushinda wakati mwingine, lakini ukijaribu kutafuta njia ya kupata utajiri kupitia michezo ya kubashiri sio! Ni njia nzuri ya kupata umasikini ikiwa wewe ni tajiri.
Unatakiwa kuchukulia michezo ya kubashiri kama jambo la kujiburudisha, na sio njia ya kupata pesa! Kwangu mimi huwa naichukulia kama burudani nikiwa natambiana na marafiki zangu kwa kuonyeshana nani ameshinda pesa zaidi hasa pale tukiwa tunaangalia mechi ambayo haituhusu Huwa tunaweka majamvi ili kunogesha
Kutajirika ni nini?One in a million...
Kama nani waliofilisika kwa kamari?Uko sahihi kabisa hata kama wanakubishia. Kuna msemo unasema HAKUNA ALIYETAJIRIKA KWA KAMALI AU BETTING ILA KUNA WENGI WAMEFILISIKA SABABU YA KAMALI
Huwezi kurajirika kwa kubashiri ila wenye biashara za kubashiri nduo hutajirika
Acha maneno maneno mkuuHakuna atakayetajirika kwa kubashiri tuseme ukweli. Ndio, unaweza kushinda wakati mwingine, lakini ukijaribu kutafuta njia ya kupata utajiri kupitia michezo ya kubashiri sio! Ni njia nzuri ya kupata umasikini ikiwa wewe ni tajiri.
Unatakiwa kuchukulia michezo ya kubashiri kama jambo la kujiburudisha, na sio njia ya kupata pesa! Kwangu mimi huwa naichukulia kama burudani nikiwa natambiana na marafiki zangu kwa kuonyeshana nani ameshinda pesa zaidi hasa pale tukiwa tunaangalia mechi ambayo haituhusu Huwa tunaweka majamvi ili kunogesha
yaani unabeti buku, halafu ukiliwa utasema umefilisika?Hakuna atakayetajirika kwa kubashiri tuseme ukweli. Ndio, unaweza kushinda wakati mwingine, lakini ukijaribu kutafuta njia ya kupata utajiri kupitia michezo ya kubashiri sio! Ni njia nzuri ya kupata umasikini ikiwa wewe ni tajiri.