Bertha Kakete
Member
- Oct 7, 2023
- 7
- 15
Hakuna atakayetajirika kwa kubashiri tuseme ukweli. Ndio, unaweza kushinda wakati mwingine, lakini ukijaribu kutafuta njia ya kupata utajiri kupitia michezo ya kubashiri sio! Ni njia nzuri ya kupata umasikini ikiwa wewe ni tajiri.
Unatakiwa kuchukulia michezo ya kubashiri kama jambo la kujiburudisha, na sio njia ya kupata pesa!
Kwangu mimi huwa naichukulia kama burudani nikiwa natambiana na marafiki zangu kwa kuonyeshana nani ameshinda pesa zaidi hasa pale tukiwa tunaangalia mechi ambayo haituhusu, Huwa tunaweka majamvi ili kunogesha