Je, kuna mtu ameshawai kusikia kelele za panya anatembea juu ya gypsum board?

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Habari wadau,

Kuna hoja nimeisikia kwamba panya yeyote hawezi kutembea wala kukimbia juu ya gypsum board. Anateleza.

Je, mtoa hoja anasema ukweli ama anadangaya?

Kwa watu mnaoishi kwenye mazingira yenye gypsum board Je, mmewahi kusikia panya juu ya hizo board anakimbia ama anatembea kama siling board za kawaida za kizamani?
 
Atatembea kwa kuteleza hivyo hivyo mpaka atafika anakoenda

kwanza kuteleza ni bora kuliko kutembea kawaida🥵🥵
 
Panya anatembea kwenye mbao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…