M Masanja Maguzu JF-Expert Member Joined Jul 13, 2018 Posts 547 Reaction score 396 Aug 2, 2018 #21 mlugha said: Ndonya ya pamba sawa na ndonya ya ulezi Click to expand... hapo sasa,
S Synthesizer Platinum Member Joined Feb 15, 2010 Posts 12,699 Reaction score 22,598 Aug 2, 2018 #22 Chizi Maarifa said: swali je kuna mtu anafaham ndonya moja ni sawa na kg ngap? debe moja ni sawa na kgs ngap? gunia moja linajazwa kwa debe ngapi? tupeane msaada katika hili tafadhali. Click to expand... Hahaha! Mkuu, nenda shule. Maana msomi yeyote hapa atakuuliza ndonya ya chumvi, sukari, mchele, ulezi au maharage? Yaani ukitaka ujitetetee kisomi, hapa sema nilimaanisha debe na ndonya tupu ni kg ngapiπππ
Chizi Maarifa said: swali je kuna mtu anafaham ndonya moja ni sawa na kg ngap? debe moja ni sawa na kgs ngap? gunia moja linajazwa kwa debe ngapi? tupeane msaada katika hili tafadhali. Click to expand... Hahaha! Mkuu, nenda shule. Maana msomi yeyote hapa atakuuliza ndonya ya chumvi, sukari, mchele, ulezi au maharage? Yaani ukitaka ujitetetee kisomi, hapa sema nilimaanisha debe na ndonya tupu ni kg ngapiπππ
A adolay JF-Expert Member Joined Dec 8, 2011 Posts 12,101 Reaction score 14,487 Aug 2, 2018 #23 mr_politicia_rawfed said: Inategemeana na kitu unacho nunua Ndonya moja ya mahindi, haiwez kua na uzito sawa na ndonya moja ya mchele, maharage n.k Click to expand... Very correct comment
mr_politicia_rawfed said: Inategemeana na kitu unacho nunua Ndonya moja ya mahindi, haiwez kua na uzito sawa na ndonya moja ya mchele, maharage n.k Click to expand... Very correct comment
S Synthesizer Platinum Member Joined Feb 15, 2010 Posts 12,699 Reaction score 22,598 Aug 2, 2018 #24 Chizi Maarifa said: swali je kuna mtu anafaham ndonya moja ni sawa na kg ngap? debe moja ni sawa na kgs ngap? tupeane msaada katika hili tafadhali. Click to expand... Na mie naomba nikuulize; kilo moja ya pamba na kilo moja ya chumvi kipi kizito?
Chizi Maarifa said: swali je kuna mtu anafaham ndonya moja ni sawa na kg ngap? debe moja ni sawa na kgs ngap? tupeane msaada katika hili tafadhali. Click to expand... Na mie naomba nikuulize; kilo moja ya pamba na kilo moja ya chumvi kipi kizito?