Masanja Maguzu
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 547
- 396
hapo sasa,Ndonya ya pamba sawa na ndonya ya ulezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo sasa,Ndonya ya pamba sawa na ndonya ya ulezi
Hahaha! Mkuu, nenda shule. Maana msomi yeyote hapa atakuuliza ndonya ya chumvi, sukari, mchele, ulezi au maharage?swali je kuna mtu anafaham ndonya moja ni sawa na kg ngap?
debe moja ni sawa na kgs ngap?
gunia moja linajazwa kwa debe ngapi?
tupeane msaada katika hili tafadhali.
Inategemeana na kitu unacho nunua
Ndonya moja ya mahindi, haiwez kua na uzito sawa na ndonya moja ya mchele, maharage n.k
swali je kuna mtu anafaham ndonya moja ni sawa na kg ngap?
debe moja ni sawa na kgs ngap?
tupeane msaada katika hili tafadhali.