Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,254
- 2,014
Pole sana mkuuNB: Bado nipo kwenye majonzi ya kumpoteza rafiki yangu, aliyeteseka kwa ugonjwa wa sickle cell. Na aliyeishi maisha ya maumivu mpaka kuondoka kwake. Kijana mdogo miaka 23.
Ukifanya haya hautateseka sana..π π π π πPole sana mkuu
Kuhusu Mungu.. Inabidi uishi kwa faith. Mungu si kitu wala mtu.. Mungu ana encompasate kila unacho kiona, kuhisi na kufikiri..
Ndiye muweza wa yote kama maandiko ya navyo sema.
Amini unacho amini lakini jua yupo na ndiye aliyesababisha wewe uwepo.
Ukifanya haya hautateseka sana..
Tatizo sio yeye, tatizo ni swali kuhusu uwepo wake.
Mimi baada ya kuyafuata hayo nimekombolewa katika jela niliyo ishi kwa miaka kwUkifanya haya hautateseka sana..π π π π π
πππwanaosema yupo waposahihi na wanaosema hayupo pia wapo sahihi kwakifupi yupo/hayupo inategemea na muonaji tu
SeenMimi baada ya kuyafuata hayo nimekombolewa katika jela niliyo uishi kwa miaka kwenda. Na hakuna kitu cha kuchekesha katika hilo
hujawahi pitia mambo ukaona kama hakuna Munguππππππ
Pastor kama pastorInahitaji neema ya Mungu kujua hilo kama huna itakua ni ngumu kidogo kuelewa ni kama mbuzi anapigiwa gitaa
Kweli kabisahujawahi pitia mambo ukaona kama hakuna Munguπππ
na hujawahi ponea chupuchupu kwenye shida au msala unajua kabisa ulikua hutoboi yaani unajua kabisa hapa ni Mungu tuππ
Kuna kipindi nilipitia spiritual warfare na huu wimbo ulininasua kwa kweli am not lying.
ππππ elimu ni ya muhimu bestPastor kama pastor
Hukosagi izi.madaπ
huu wimbo ππΎππΎππΎππΎ
Bado yule mmoja wa kuja kutupinga humu πΉππππ elimu ni ya muhimu best
umebadili phone number au?Pastor kama pastor
Hukosagi izi.madaπ