Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

MUNGU Yupo....na hajaruhusu mateso,,,,
Kwa kifupi sana...SISI WAAFRIKA NDIO KILA KITU...... NDIO WATEULE WA MUNGU.....KWA KUTOJITAMBUA NA KUVURUGWA..... NDIO YOTE HAYA YANATOKEA........TORATI IPO WAZI KABISA SOMA NA UIELEWE.
 
Then hawezi kuwa judge kama unavyosema itabidi awe na upande na kwenye mahakama ya haki huwezi kuwa judge na wakili pia, hii ni total confusion na contradiction.
 
Tumefundishwa kila kitu kipo nje yetu ili tutawalike kiurahisi na kwa hili wamefanikiwa sana. Tukiweza kujifasiri sisi tutakuwa tumeweza pia kumfasiri Mungu.
 
Kama ametupa ramani na akili ya kupambana kwa nini dunia imejaa masikini na dhuluma ?
Kwa nini mabilioni ya binadamu hawawezi kujitetea dhidi ya umasikini, magonjwa, njaa na dhuluma??
 
Then hawezi kuwa judge kama unavyosema itabidi awe na upande na kwenye mahakama ya haki huwezi kuwa judge na wakili pia, hii ni total confusion na contradiction.
Hata hapo kwenye sheria za binadamu unazozing’ang’ania, mbona kuna kitu kinaitwa amicus curiae au mahakama yenyewe kukuteulia wakili wa bure pale unaposhindwa kujitetea? Kama mfumo wa binadamu tu unaweza kukupa Jaji anayehakikisha unapata haki ya kutetewa, iweje iwe contradiction kwa Mungu kukuwekea mfumo wa kukusaidia usishindwe mtihani wake? Unapinga vitu vilivyo wazi kwa sababu ya ubishi tu.
 
Kama ametupa ramani na akili ya kupambana kwa nini dunia imejaa masikini na dhuluma ?
Kwa nini mabilioni ya binadamu hawawezi kujitetea dhidi ya umasikini, magonjwa, njaa na dhuluma??
Mkuu hao unawaita binadamu hawajijui wao ni nani
 
Kama ametupa ramani na akili ya kupambana kwa nini dunia imejaa masikini na dhuluma ?
Kwa nini mabilioni ya binadamu hawawezi kujitetea dhidi ya umasikini, magonjwa, njaa na dhuluma??
Unataka Mungu amnyang'anye binadamu uhuru wa kuchagua? Maana thamani ya binadamu ipo kwenye uwezo wa kuchagua wema au ubaya, dhuluma ipo kwa sababu binadamu tunatumia vibaya huu uhuru wetu na tutakuja kuhukumiwa kwa hilo.
 
Kama ametupa ramani na akili ya kupambana kwa nini dunia imejaa masikini na dhuluma ?
Kwa nini mabilioni ya binadamu hawawezi kujitetea dhidi ya umasikini, magonjwa, njaa na dhuluma??
Mkuu Mungu yupo kubali yaishe 😂😂
 
You do have weird ways to defend your god indeed!🤣🤣🤣
Ndio yale yale ajali imetokea aliyepona anamshukuru mungu kwa kutoka salama na waliofiwa nao wanamshukuru kwa mapenzi yake kutimizwa.
Heads you win, tail I lose🤣🤣🤣
 
All of the above
Kila ancient teachings, Kila practice au non practice zote zinanirudisha kwa Mungu
 
Unateseka na dry logic, safi sana, unatakiwa uelewe kushukuru kwa mapenzi ya Mungu hata kwenye msiba ni kukubali uhalisia kwamba binadamu hatuna mamlaka ya kuzuia kifo, wewe ukimlaumu Mungu kwenye msiba, lawama zako zinamsaidia nini? Zinamrudisha huyo marehemu?
 
All of the above
Kila ancient teachings, Kila practice au non practice zote zinanirudisha kwa Mungu
Kwa hiyo yupi?
Haiwezi kukurudisha kwa vitu visivyo fanana.
Unataka kusema Budha hana moto wakati wale wa dini za Ibrahimu wamekuhaidi moto wa milele?
Mulungu utamfukia kupitia Imani kwa Babu zako?

Jesus mpaka uzaliwe upya?

Haiwezekani njia zisizo fanana zikupeleke kwenye jibu Moja.
 
Kama vile tu kuwaambia CHADEMA wakubali tu mama yenu alipata kura milioni 31 sawa na 98% kwa sababu tu tume ilitangaza na yenyewe ndio final kikatiba🤣
Hivyo yani 😂😂😂
 
Kasome Luka 13;1-5
Kajibu kirahisi sana wala hakushtuka kilichotokea .....

Haya maneno yako ndio yaliyonipa ukakasi sana. .

Anyway. Neno husika

13 Now there were some present at that time who told Jesus about the Galileans whose blood Pilate had mixed with their sacrifices. 2 Jesus answered, “Do you think that these Galileans were worse sinners than all the other Galileans because they suffered this way? 3 I tell you, no! But unless you repent, you too will all perish. 4 Or those eighteen who died when the tower in Siloam fell on them—do you think they were more guilty than all the others living in Jerusalem? 5 I tell you, no! But unless you repent, you too will all perish.”


Nataka niongeze neno. Kuna kuishi na kufa. Hata ukiwa umekufa unakufa mwili tu. Ila kuna kifo cha kiroho.

Kifo kilichozungumziwa hapa ni kifo cja kiroho hawa waliokufa hawakupata uzima wa milele

Haha yesu alijibu kibabe😀
 
Achana na human made conceptions zote hizo zimemezwa na aspect moja ya mind..

Na Mungu ni kila kitu including the mind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…