Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 1,620
- 3,165
kuna wana wa israel walikuwa kama nyie mm nawapa njia ya kumuona M-ngu kuwa safi kiroho mpaka kimwili atakuja kwakoHata kama hataki tumuone basi tuone hata ishara au dalili za Uwepo wake, zaidi ya maneno maneno ya bure bure kutoka kwa wahanga wa matatizo ya kidunia
Ishara na dalili za uwepo wake ziko nyingi na ziko wazi sana.Hata kama hataki tumuone basi tuone hata ishara au dalili za Uwepo wake, zaidi ya maneno maneno ya bure bure kutoka kwa wahanga wa matatizo ya kidunia
Kwanini wengi hutafuta ithibati ya uwepo wa mungu kwa kutazama uwepo wa mateso na karaha mbalimbali tu na sio starehe na mambo yafurahishayo?Sio kwamba natafuta sifa au nataka kubishana na mtu kuhusu imani. Lakini nikitazama yanayoendelea duniani vita, mauaji, watoto wanaoteseka, njaa, magonjwa na watu wasio na hatia kupoteza maisha naanza kujiuliza kwa dhati kama Mungu yupo na ana uwezo wote, kwa nini anaruhusu mateso haya yaendelee?
Huenda kuna majibu ambayo mimi siyajui. Lakini kwa sasa, swali hili limenifanya nianze kujiuliza kwa kina kuhusu uwepo wa Mungu.
Ningependa kusikia mawazo yenu Je, wewe unaamini Mungu yupo? Na kama ndiyo, unaelezaje uwepo wa mateso makubwa duniani?
NB: Bado nipo kwenye majonzi ya kumpoteza rafiki yangu, aliyeteseka kwa ugonjwa wa sickle cell. Na aliyeishi maisha ya maumivu mpaka kuondoka kwake. Kijana mdogo miaka 23.
Sasa angeepusha vipi wakati yeye ndio ametaka viwe na vitokee na kama angeamua visiwe visinge kuwa.Huyo Mungu angekuwepo, shida na misala visingekuwepo.
Mungu huyo ange epusha vyote.
Mungu huyo hayupo, Ndio maana Duniani kuna shida na misala ya kila aina.
Na HAKUNA YEYOTE wa kuepusha CHOCHOTE.
Thibitisha hilo.Sio physically tu, Huyo Mungu hayupo kwa namna yoyote ile.
Mkuu umeruka madarasa mengi sana ya physics, physical laws sio matokeo ya Big Bang. Big Bang ndio matokeo ya sheria za physics zilizokuwepo from planck epoch! Ili mlipuko wowote utokee na vitu vitawanyike, lazima sheria za gavity), strong and weak nuclear forces na thermodynamics ziwepo tayari.Physical laws za ulimwengu ni matokeo ya big bang na galaxies kujiunda kwa mabilioni ya miaka.
Kwa hiyo wewe ukiona Mawe yamejipanga moja juu ya kingine tayari unajua Mungu huyo Yupo hapo?Ushawahi kujiuliza katika umbile lako, kwanini jasho lina chumvi chumvi, au ute wa sikioni ni mchungu na mate ni kama hayana ladha ?
Wewe unajua au unaamini ya kuwa imekwaje Ulimwengu ukawepo ?Mimi wala siamini.
Siamini kwenye kuamini.
Sina imani ya aina yoyote ile.
Kuna tofauti kati ya "kuamini" na "kujua".
Kuamini unaweza kuamini hata uongo.
Mimi sihitaji kuamini nahitaji kujua kwa uhakika, ukweli, ushahidi na uthibitisho.
Msingi wa logic ni nini, mpaka kwako iwe marejeo ?The divine fallacy also known as the argument from incredulity—is a logical error. It happens when someone claims that a hard-to-understand event must be the work of God or magic simply because they cannot find another explanation.
Mimi nataka ukweli wenye logical consistency.
Sitaki imani zenye logical contradictions.
Kwanza una elewa maana ya logical consistency?
Unajua sababu ambazo huwa zinafanya Contradictions ziwepo ?Ukweli hautakiwi kuwa na contradiction ya aia yoyote.
Nataka ukweli wenye logical consistency.
Una elewa maana ya logical consistency?
Evolution inaelezea vizuri sana jinsi gani ubongo wa binadamu ulivyojiunda kwa zaidi ya miaka milioni 6 na jinsi gani ugunduzi wa moto wa kuwashwa na binadamu miaka 300,000 iliyopita ulivyochochea mabadiliko ya ubongo wake na mambo mengine yanayohitaji akili.Ukisema Evolution, mbona inashindwa kueleza kwa nini binadamu ana sifa zinazozidi mahitaji ya kibaolojia ya kuishi tu?
Thibitisha Mungu hayupo.Hujathibitisha Mungu yupo, Unarukia kusema Mungu ameruhusu kwako.
Kwanza thibitisha Mungu yupo, kabla ya kusema ameruhusu kitu kwako.
Kwanza freewill haipo.Mbona unarudia swali lile lile neno kwa neno? Inaonekana yale maelezo niliyokupa kuhusu tofauti ya free Will na physical uutcome yamegonga ukuta kichwani kwako! Nani kakwambia Mtu B hana free will ya kukwepa? Ana free will ya kujitetea, kukimbia, au kupiga kelele. Akizidiwa nguvu na kuuawa basi, unatakiwa uelewe huko sio kukosa free ni kuzidiwa nguvu kifizikia!
This is illogical question.Thibitisha Mungu hayupo.
Nataka kujua kutoka kwako. Uzalendo wako upo kutoka ndani ya nafsi yako au kwenye makaratasi. Nimeanzia mbali ili ufahamu namna ubongo wako ulivyojengwa kwenye issue ya MunguWewe sasa hauna hoja za msingi tena, kukujibu swali lako la somo la uraia, utanzania ni stakabadhi na makubaliano ya kisheria ya wanadamu.
Mungu mnayedai kwamba ni muweza wa vyote, mwenye upendo na huruma kwenye Dunia iliyojaa uovu na mabaya, Huoni contradictions hapo?Unajua sababu ambazo huwa zinafanya Contradictions ziwepo ?
Sio kila jambo lina Contradictions, mfano la hili la uwepo wa Mungu. Bali ni ujinga wenu na matamanio yenu ya nafsi, ndio maaa si ajabu kuwaona mnabisha jambo na hamna hoja wala ithibati.
Mungu anafundishwa kama alphabet, muda, namba, mipaka nk. Hivyo vyote vilivumbuliwa na mwanadamu ili kutengeneza jamii yenye utamaduni unaonendana.Wewe sasa hauna hoja za msingi tena, kukujibu swali lako la somo la uraia, utanzania ni stakabadhi na makubaliano ya kisheria ya wanadamu.
Hata kama hatujui ulimwengu umekuwepo vipi, bado jibu sio Mungu.Wewe unajua au unaamini ya kuwa imekwaje Ulimwengu ukawepo ?
Unaelewa burden of proof philosophy?Shids tamko Imani mnalichukulia katika muono finyu wa kustaajabisha. Imani kuna wakati hutanguliwa na kujua yaani kuwa na elimu ya yakini kabisa isiyo kuwa na shaka.
Sasa wewe mbona unashindwa kutupa ushahidi na uthibitisho ya kuwa Mungu hayupo, zaidi ya kucheza na maneno na falsafa.
Hahaha aisee, yani unatengeneza hoja dhaifu ya upande wa pili kisha unaishambulia! Nimeupenda huu mchezo.Evolution inaelezea vizuri sana jinsi gani ubongo wa binadamu ulivyojiunda kwa zaidi ya miaka milioni 6 na jinsi gani ugunduzi wa moto wa kuwashwa na binadamu miaka 300,000 iliyopita ulivyochochea mabadiliko ya ubongo wake na mambo mengine yanayohitaji akili.
Hata hivyo haya ni mambo ambayo huwezi kuyaelewa kwa sababu kulingana na hadithi za mungu wa Abraham binadamu wana miaka kama 6,000 tu tangu wawepo duniani na waliumbwa wakiwa watu waliokamilika kwa kila kitu.