Je, kuna mwenye kuifahamu vyema Bachelor of Metrology and Standardization?

Je, kuna mwenye kuifahamu vyema Bachelor of Metrology and Standardization?

Mkuu nilisoma bachelor of industrial metrology and standardization, ambayo inatolewa na chuo cha CBE tu.
Hapo nimekusoma. Kama vipi piga diploma au certificate nyingine kama mambo bado.
 
Hapo nimekusoma. Kama vipi piga diploma au certificate nyingine kama mambo bado.

Hapa inaitaji ujikane nafsi. Kama kungekuwa na connection unajua ukimaliza pande lipo sawa. Ila kwenda kusoma tena inaweza kuwa kama kombolela tu
 
TBS, Weight and Measures

TBS ndio patamu zaidi. Ila hao WMA huwa wanaishia kuwapa mikataba tu sio Ajira ya kudumu. Yani unafanyiwa interview na Utumishi alafu mwisho wa siku kazi zao zinakuwa na mikataba.
 
Habari zenu wakuu,

Nilikuwa naomba msaada kwa anayeelewa Degree ya Metrology and Standardization sehemu atazoweza kufany kazi pamoja na basic salary yake.
TBS kitengo cha metrology and standardization
 
Hapa inaitaji ujikane nafsi. Kama kungekuwa na connection unajua ukimaliza pande lipo sawa. Ila kwenda kusoma tena inaweza kuwa kama kombolela tu
Hio kozi nilisoma semister 1 tu CBE nkaskuti nkaona ni kupoteza muda nkapiga chini
 
Usithubutu kusoma huo ujinga.ww kasomee kozi za engineering
 
Hii course ugumu wake pia unachangiwa na viongozi wa juu wa taasisi ya wakala wa vipimo(WMA), yani uyo kaimu mkurugenzi mkuu anaitwa Stella yani yupo ofisini tu hajipambanui.

Kuna kazi nyingi ambazo inabidi zifanywe na WMA ila zinafanywa na TBS.
 
Back
Top Bottom