B bigpopper New Member Joined Mar 25, 2013 Posts 2 Reaction score 0 May 26, 2014 #1 Naomba mwenye msaada wakunisaidia niweze kupata nafasi ya kuingia jeshini. Msaada...
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,384 May 26, 2014 #2 bigpopper said: Naomba mwenye msaada wakunisaidia niweze kupata nafasi ya kuingia jeshini. Msaada... Click to expand... Mkuu si ufuate utaratibu wa kawaida, kwani nini kimeshindikana? Sidhani kama hapa kuna mtu anaweza kukusaidia KUPATA nafasi jeshini labda kama una-invite mambo ya rushwa
bigpopper said: Naomba mwenye msaada wakunisaidia niweze kupata nafasi ya kuingia jeshini. Msaada... Click to expand... Mkuu si ufuate utaratibu wa kawaida, kwani nini kimeshindikana? Sidhani kama hapa kuna mtu anaweza kukusaidia KUPATA nafasi jeshini labda kama una-invite mambo ya rushwa
Mustapha Ryder Member Joined Dec 19, 2013 Posts 76 Reaction score 12 May 26, 2014 #3 kwanz tafta nafasi ya JKT hyo ndo njia rahc