Je kuna nafadi JESHINI. (JWTZ)

Je kuna nafadi JESHINI. (JWTZ)

bigpopper

New Member
Joined
Mar 25, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Naomba mwenye msaada wakunisaidia niweze kupata nafasi ya kuingia jeshini. Msaada...
 
Naomba mwenye msaada wakunisaidia niweze kupata nafasi ya kuingia jeshini. Msaada...
Mkuu si ufuate utaratibu wa kawaida, kwani nini kimeshindikana? Sidhani kama hapa kuna mtu anaweza kukusaidia KUPATA nafasi jeshini labda kama una-invite mambo ya rushwa
 
Back
Top Bottom