Je, kuna namna yoyote ya maumbile ya mwanaume kuendelea kukua hata baada ya miaka 18?

Je, kuna namna yoyote ya maumbile ya mwanaume kuendelea kukua hata baada ya miaka 18?

Bonyobonyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
226
Reaction score
233
wakuu swali hapo juu linajieleza naomba kujua kuhusu hilo je gegedeo la mwanaume linawez kuendelea kukua hata baada ya miaka 18

msaada wenu wakuu madoctors na wanajamii
 
Asante Mungu Kwa huu mzigo,juzi nimekojoza hadi Yale maji kabisa wanayaitaga squirt
 
inawezekana kukuza gegedo, dunia hii mengi yanawezekana. Dawa nyingi za mtaani na zingine zinatangazwa mitandaoni zote hazikuzi gegedo sijui vidonge mara jelly ni wizi tu, wafanyabiashara wamechukulia chance kwamba wanaume wengi wanahisi mijegeja yao ipo undersize kitu ambacho sio kweli sana wengi sana wapo normal
unaweza fanya surgery ya kuongeza mjegeja but its expensive sana na ni risk sana mzee baba, pia waweza tumia dawa ya testosterone (arttifical testosterone hormone and its derivatives) ambayo hua inakuza uume kiasi lakini pia ina madhara na ni risk pia mfano inaweza kukunenepesha (built in muscle), kuota matiti na kubadilisha sauti kua bezi sana, kuota nywele nyingi kichwani na kule nyetini lakini kibaya zaidi ukitumia mda mrefu utakua ume change natural T to artificial one sasa ile natural hua production yake ina deminish hapo ndo majanga huanza(makubwa)
pia unaweza ongeza gegedo kwa zile pump(penis pump) mashine hizi zinaongeza kiasi lakini pia madhara ni makubwa maana uume hulegea sana na kufanya penetration iwe kazi ngumu
kama kweli uume wako ni mdogo sana sana, nenda hospital wacheki madaktari (urologist) wanaweza kukusaidia kwa njia bora zaidi lakini mtu asidanganyike na wafanya biashara, utaliwa pesa zako
mwisho, wanaume wengi hujisikia ufahari kuwa na mjegeja mkubwa lkn kumbe unaweza kuwa na bunduki kubwa lkn usiweze kumfikisha mwenzio kunako unono
 
Back
Top Bottom