Je! Kuna namna zakufanya kurudisha number ambayo imefutwa?

Je! Kuna namna zakufanya kurudisha number ambayo imefutwa?

dinongo

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2022
Posts
814
Reaction score
1,054
salaam,

Hivi wataalamu Kuna namna za kufanya hili kurejesha number ya simu ambayo uliifuta kwa hasira, Kuna mtu nilifuta number yake kwa hasira Sasa kuna ishu muhimu nae, na namna za kumpata hakuna "kulalaleki!
 
Sms au calls mlizopigiana
Kama nazo ulifuta hapo shida
 
salaam,

Hivi wataalamu Kuna namna za kufanya hili kurejesha number ya simu ambayo uliifuta kwa hasira, Kuna mtu nilifuta number yake kwa hasira Sasa kuna ishu muhimu nae, na namna za kumpata hakuna "kulalaleki!
Kama simu yako ina recycle bin unaipata
 
Unatumia gadget ipi? Kama sio kiswaswadu, Super backup ni dakitaree! Kwa android yoyote. Tafta super backup old version kwenye appstores hizi, 1 aurora store& uptodown appstore
 
Back
Top Bottom