balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Okinawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani imeweka bendera kwenye mwezi, hiki ndo kitu nadra ambacho biblia ingeandika. Au hata USSR ilivorusha satellite ya kwanza hii nayo ni issue ngumu. Badala yake kuweka bendera kwenye mlima au kumiliki mwenge ni kitu rahisi sana. Marekani iliposhinda mapigano kwenye vita kadhaa ilikuwa inasimika bendera kwenye vilima mfano Hamburger hill, hata kule Japan nimesahau kisiwa gani.
Sent using Jamii Forums mobile app