balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Marekani imeweka bendera kwenye mwezi, hiki ndo kitu nadra ambacho biblia ingeandika. Au hata USSR ilivorusha satellite ya kwanza hii nayo ni issue ngumu. Badala yake kuweka bendera kwenye mlima au kumiliki mwenge ni kitu rahisi sana. Marekani iliposhinda mapigano kwenye vita kadhaa ilikuwa inasimika bendera kwenye vilima mfano Hamburger hill, hata kule Japan nimesahau kisiwa gani.
Piga hesabu kama mlima kilimanjaro angekua nao kiduku N.KOREA na anawaona usa nk.ingekua vipi beberu usa ata haja kubwa asingepata maana kiduku angekua anatestia mitambo kule juu ya mlima.nawaza tusina wasiwasi na hilo hata hivyo roho yangu inaniambia ni misri maana hapa nashindwa tu kuweka ila tanzania nina wasiwasi nayo kwa kuwa kilimanjaro ni mlima mrefu sana ambapo ukiwa juu pale unaweza ona mbara yote ya ulimwengu kama dunia ingekuwa kama meza kwa kimo chake. kwa maana tunaweza fanya kitu bila kujua maaana yake nini wakati mwingine katika maisha.
EMPTY SPACE?marekani walitudanganya kwamba wameenda mwezini swali kama kweli wameenda kwa nini iwe ni mara moja tu na wasirudi tena? pili kule mwezini ni empty space ambapo hamna hewa lakini bendera ya marekani inapepea kuonyesha kuna upepo. Ile ni igizo la kisasa
mekupata mkuu record hizi zina maana zake hata ukitembea usiku na mchana ni tukio mimi kilichonishtua ni biblia imetaja suala hilo la bendera kuwekwa juu ya mlimaMwaka 1953 mwezi May,Sir Edmund Hillary na mwenzake Enzing Norgay waliweka bendera juu ya kilele cha mlima Everest nchini Nepal.
View attachment 1304176
Vijana wa Marines wakiweka bendera juu ya kilele cha mlima Suribachi.
Naomba utusaidie inasemaje maana biblia nimeiacha nyumbani
Unabii hu sio kwaajili ya nchi yangu TanzaniaIsaya 18
1 Ole wa nchi ya uvumi wa mabawa, Iliyoko mbali kupita mito ya Kushi;
2 Ipelekayo wajumbe wake kwa njia ya bahari, Na katika vyombo vya manyasi juu ya maji.
3 Enyi watu mkaao katika ulimwengu wote, na wenyeji wa dunia, bendera ikiinuliwa milimani, angalieni; na wakipiga tarumbeta, sikieni.
4 Maana Bwana ameniambia hivi, Mimi nitatulia, na kuangalia katika makazi yangu, kama wakati wa mwangaza mweupe wa jua kali, mfano wa wingu la umande katika hari ya mavuno.
5 Maana kabla ya mavuno, maua yaangukapo, na maua yakawa zabibu zianzazo kuiva, ndipo atakapoyakata matawi kwa miundu, na kuviondoa vitawi vilivyopanuka na kuvikata.
6 Wote pamoja wataachiwa ndege wakali wa milimani, na hayawani wa nchi; ndege wakali watakaa juu yao wakati wa jua, na hayawani wote wa nchi watakaa juu yao wakati wa baridi.
7 Wakati huo Bwana wa majeshi ataletewa hedaya na watu warefu, laini; Watu watishao tangu mwanzo wao hata sasa; Taifa la wenye nguvu, wakanyagao watu, Ambao mito inakata nchi yao;
kabla ya kuongea uwe unajifanyia itafiti mzee......marekani walitudanganya kwamba wameenda mwezini swali kama kweli wameenda kwa nini iwe ni mara moja tu na wasirudi tena? pili kule mwezini ni empty space ambapo hamna hewa lakini bendera ya marekani inapepea kuonyesha kuna upepo. Ile ni igizo la kisasa
Mkuu ulishabadili msimo wako, kwamba hakuna aliye wai kwenda kwenye mwezi?.[emoji23] [emoji23]Watu wameweka mwezini,itakua mlimani?
hayo mambo ya empty space bila wao usingelyajua.marekani walitudanganya kwamba wameenda mwezini swali kama kweli wameenda kwa nini iwe ni mara moja tu na wasirudi tena? pili kule mwezini ni empty space ambapo hamna hewa lakini bendera ya marekani inapepea kuonyesha kuna upepo. Ile ni igizo la kisasa
mku nakushukuru sana mana sikuweza kutupia quote hiyo kwa sababu ya kifaa ninayotumiaIsaya 18
1 Ole wa nchi ya uvumi wa mabawa, Iliyoko mbali kupita mito ya Kushi;
2 Ipelekayo wajumbe wake kwa njia ya bahari, Na katika vyombo vya manyasi juu ya maji.
3 Enyi watu mkaao katika ulimwengu wote, na wenyeji wa dunia, bendera ikiinuliwa milimani, angalieni; na wakipiga tarumbeta, sikieni.
4 Maana Bwana ameniambia hivi, Mimi nitatulia, na kuangalia katika makazi yangu, kama wakati wa mwangaza mweupe wa jua kali, mfano wa wingu la umande katika hari ya mavuno.
5 Maana kabla ya mavuno, maua yaangukapo, na maua yakawa zabibu zianzazo kuiva, ndipo atakapoyakata matawi kwa miundu, na kuviondoa vitawi vilivyopanuka na kuvikata.
6 Wote pamoja wataachiwa ndege wakali wa milimani, na hayawani wa nchi; ndege wakali watakaa juu yao wakati wa jua, na hayawani wote wa nchi watakaa juu yao wakati wa baridi.
7 Wakati huo Bwana wa majeshi ataletewa hedaya na watu warefu, laini; Watu watishao tangu mwanzo wao hata sasa; Taifa la wenye nguvu, wakanyagao watu, Ambao mito inakata nchi yao;
ilyofika mwezini ni moja tu kwa mujibu wa maelezo yao hayo apolo mpaka seventeen ni majaribio tukabla ya kuongea uwe unajifanyia itafiti mzee......
But this first was not the last for NASA. The United States would go on to complete six crewed missions to the moon that landed a total of 12 astronauts (all men) from 1969 to 1972 in a series of Apollo missions numbering up to Apollo 17
hoja ni kwamba walidanganya sio kweli kwamba walienda ila majaribio walifanya nyingi sana picha zao ndo zinaleta shida kesho nitakuja na ushahidi wa hilihayo mambo ya empty space bila wao usingelyajua.
na zaidi kwani kuna ulazima gani wa wao kurudi uko?.
kwa hiyo nikisema niliwai kwenda New York, uthibitisho wa kuthibitisha ilo hadi nirudi kwa Mara nyingine tena NEW YORK ndo ukubali?.
Sent using Jamii Forums mobile app
jiongezee maarifa mkuu ubishi sio mzurihoja ni kwamba walidanganya sio kweli kwamba walienda ila majaribio walifanya nyingi sana picha zao ndo zinaleta shida kesho nitakuja na ushahidi wa hili
unadhani kwanini walidanganya?.hoja ni kwamba walidanganya sio kweli kwamba walienda ila majaribio walifanya nyingi sana picha zao ndo zinaleta shida kesho nitakuja na ushahidi wa hili