DOKEZO Je, kuna nini kinaendelea JNIA Terminal 3? Ndege hazitui wala kuondoka

DOKEZO Je, kuna nini kinaendelea JNIA Terminal 3? Ndege hazitui wala kuondoka

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Anaupiga mwingi

Mbarawa anashughulikia mabehewa
 
Hayo mashimo kwenye runway ndiyo tukio la siku moja, kwani hakuna maintenance schedule?

Mbona hatujawahi sikia hii kitu?
Utasikia marehemu sijui kanyofoa runway.

Tuseme ukweli kiongozi wetu mvivu wa ufuatiliaji, nchi ilivyooza mtu wa juu lazima awe chuma kweli kweli...
 
Utasikia marehemu sijui kanyofoa runway.

Tuseme ukweli kiongozi wetu mvivu wa ufuatiliaji, nchi ilivyooza mtu wa juu lazima awe chuma kweli kweli...
Itakuwa ajabu kuwa rais afuatilie mpaka maintenance schedule ya runways.

Hao wakurugenzi (wala siyo mawaziri) kazi zao itakuwa ni zipi?
 
Back
Top Bottom