Ushaambiwa hapo, tumia fertility treatment au dawa uwahi kumaliza zoezi la kukimbizana leba, ubakie na jukumu moja la kulea na kusomesha tu.
Wee mwanangu wee utaweza walea na kuwatunza kisawa na ubora????? Mie mshahara NI 750k tu !!
Hii ya pili inaweza kua na gharama sana ?dadaa1. Genetics, kama umezaliwa pacha au mama/baba alikuwa pacha una nafasi kubwa ya kupata watoto mapacha
2. Ukiwa unatumia fertility treatment au dawa kuna nafasi kubwa ya zaidi ya yai moja kurutubishwa. Tatizo au faida ya fertility treatment ni kupata watoto quadruplet yaani wanne au zaidi.
Ongea na gynaecologistHii ya pili inaweza kua na gharama sana ?dadaa
Asante mkuu, na je hazina side effects hizo dawa ?Uwezekano upo naona wenzang wamewahi kukujibu kuna hizo dawa znazohusiana na fertilization
Je, hizo dawa hazina side effects kwa mtumiaji kwa wakati huo kwa baadae ?1. Genetics, kama umezaliwa pacha au mama/baba alikuwa pacha una nafasi kubwa ya kupata watoto mapacha
2. Ukiwa unatumia fertility treatment au dawa kuna nafasi kubwa ya zaidi ya yai moja kurutubishwa. Tatizo au faida ya fertility treatment ni kupata watoto quadruplet yaani wanne au zaidi.
Asante mkuu, na je hazina side effects hizo dawa ?
Ingekuwa vizuri ukataja hata tatu ambazo ni general.Almost kila drug ina side effects and adverse effects zake sema some are minor cases
Ila zipo ambazo ni shida ndogo ndogo za kawaida it depends na mtu.
Mbona vijijini wanakula sana hayo magimbi na viazi lakini hola, hivi kwanini wanawake hayapatani uzao wa kwanza mapacha, mara nyingi unakuta uzao wa pili au tatu ndio pachaKuna baadhi ya vyakula vinachochea sana kupata mapacha hasa viazi vitamu na magimbi vikitumiwa na wanawake.
Ngoja wataalamu waje watusaidie juu ya hilo la mapacha wengi kutokea kuanzia uzao wa pili na kuendelea na sio wa kwanza.Mbona vijijini wanakula sana hayo magimbi na viazi lakini hola, hivi kwanini wanawake hayapatani uzao wa kwanza mapacha, mara nyingi unakuta uzao wa pili au tatu ndio pacha
Umeongea sahihi mkuu.Mapacha wengi hupatikana kuanzia uzao wa pili (Sijajua kwa nini).Mimi nina pacha wangu,Kwenye familia yetu Wa kwanza kuzaliwa ni kaka yetu then tukafata sisi.Pia mama yetu ni mtoto wa kwanza kuzaliwa kwao, ila wapili wake ni mapacha kama sisi.Pia mdogo wake mama(Mjomba) alizaa mtoto wa kwanza kawaida ila wapili ni mapacha.Mbona vijijini wanakula sana hayo magimbi na viazi lakini hola, hivi kwanini wanawake hayapatani uzao wa kwanza mapacha, mara nyingi unakuta uzao wa pili au tatu ndio pacha
Unajua bei ya Lactogen???Duh! Wanne kabisa. Hapo uzao mmoja unakuwa umemaliza kazi aisee.
Nitafute mimi nikupe hao wa nne maana mimi tulizaliwa mapacha wa tatu. Na hiyo genetics bado tunayo wenzangu wawili wameoa na wake zao wamezaa mapacha.Nataka hiyo nizae wa NNE funga kazi
Ada ya English Medium x4
Andaa milion 10 ya kuwapeleka private tuition, wasomeshe internation school halafu kwenye examination wanakuja na result ya Div 4 ya point 31 usimtafute mchawi wa mapacha wako.....Je, hizo dawa hazina side effects kwa mtumiaji kwa wakati huo kwa baadae ?
Kwa sasa itakuwa kati ya 23,000-27000 kwa kopo moja.Unajua bei ya Lactogen???
Hayo ni matokeo tu mkuu. Unaweza ukawapata hata watatu kwa awamu 3 tofuati, ukawalipia hizo gharama za shule bado wote wakapata matokeo hayo hayo.Andaa milion 10 ya kuwapeleka private tuition, wasomeshe internation school halafu kwenye examination wanakuja na result ya Div 4 ya point 31 usimtafute mchawi wa mapacha wako.....