Je, kuna njia nyingine za kupata watoto mapacha ukiachana na kupandikiza maabara au kutokea tu naturally kama ambavyo tumezoea ?

Nazipata wapi jaman nazitaka hata leo
Ushaambiwa hapo, tumia fertility treatment au dawa uwahi kumaliza zoezi la kukimbizana leba, ubakie na jukumu moja la kulea na kusomesha tu.
 
1. Genetics, kama umezaliwa pacha au mama/baba alikuwa pacha una nafasi kubwa ya kupata watoto mapacha

2. Ukiwa unatumia fertility treatment au dawa kuna nafasi kubwa ya zaidi ya yai moja kurutubishwa. Tatizo au faida ya fertility treatment ni kupata watoto quadruplet yaani wanne au zaidi.
Hii ya pili inaweza kua na gharama sana ?dadaa
 
1. Genetics, kama umezaliwa pacha au mama/baba alikuwa pacha una nafasi kubwa ya kupata watoto mapacha

2. Ukiwa unatumia fertility treatment au dawa kuna nafasi kubwa ya zaidi ya yai moja kurutubishwa. Tatizo au faida ya fertility treatment ni kupata watoto quadruplet yaani wanne au zaidi.
Je, hizo dawa hazina side effects kwa mtumiaji kwa wakati huo kwa baadae ?
 
Almost kila drug ina side effects and adverse effects zake sema some are minor cases

Ila zipo ambazo ni shida ndogo ndogo za kawaida it depends na mtu.
Asante mkuu, na je hazina side effects hizo dawa ?
 
Almost kila drug ina side effects and adverse effects zake sema some are minor cases

Ila zipo ambazo ni shida ndogo ndogo za kawaida it depends na mtu.
Ingekuwa vizuri ukataja hata tatu ambazo ni general.
 
Kuna baadhi ya vyakula vinachochea sana kupata mapacha hasa viazi vitamu na magimbi vikitumiwa na wanawake.
 
Mbona vijijini wanakula sana hayo magimbi na viazi lakini hola, hivi kwanini wanawake hayapatani uzao wa kwanza mapacha, mara nyingi unakuta uzao wa pili au tatu ndio pacha
 
Ngoja wataalamu waje watusaidie juu ya hilo la mapacha wengi kutokea kuanzia uzao wa pili na kuendelea na sio wa kwanza.
 
Mbona vijijini wanakula sana hayo magimbi na viazi lakini hola, hivi kwanini wanawake hayapatani uzao wa kwanza mapacha, mara nyingi unakuta uzao wa pili au tatu ndio pacha
Umeongea sahihi mkuu.Mapacha wengi hupatikana kuanzia uzao wa pili (Sijajua kwa nini).Mimi nina pacha wangu,Kwenye familia yetu Wa kwanza kuzaliwa ni kaka yetu then tukafata sisi.Pia mama yetu ni mtoto wa kwanza kuzaliwa kwao, ila wapili wake ni mapacha kama sisi.Pia mdogo wake mama(Mjomba) alizaa mtoto wa kwanza kawaida ila wapili ni mapacha.
 
Je, hizo dawa hazina side effects kwa mtumiaji kwa wakati huo kwa baadae ?
Andaa milion 10 ya kuwapeleka private tuition, wasomeshe internation school halafu kwenye examination wanakuja na result ya Div 4 ya point 31 usimtafute mchawi wa mapacha wako.....
 
Hayo ni matokeo tu mkuu. Unaweza ukawapata hata watatu kwa awamu 3 tofuati, ukawalipia hizo gharama za shule bado wote wakapata matokeo hayo hayo.
 
Back
Top Bottom