Clomiphene (Clomid)zina side effects.Unaweza pata ovarian cyst,cancer ya ovaries. Figo ikahenyeshwa. Unajua hizi dawa zinablock Estrogen receptors kwenye hypothalamus. Hivyo FSH na LH zinakuwa kwa wingi ndo maana kunakuwa na stimulation ya ovulation isiyo ya kawaida. Nashauri usitumie hizi dawa bila kupimwa hormones zako pia bila kupimwa reserve ya ovaries. Hii dawa ni kwa wale ambao wanashindwa kuovulate kikawaida ndo maana wanaboostiwa. Sasa wewe ovaries zako,hormone zipo normal unataka boosting ya nini ?Je, hizo dawa hazina side effects kwa mtumiaji kwa wakati huo kwa baadae ?
Duh! Kumbe there is a price to pay kwa kutaka hao mapacha kwa kutumia shortcuts.Clomiphene (Clomid)zina side effects.Unaweza pata ovarian cyst,cancer ya ovaries. Figo ikahenyeshwa. Unajua hizi dawa zinablock Estrogen receptors kwenye hypothalamus. Hivyo FSH na LH zinakuwa kwa wingi ndo maana kunakuwa na stimulation ya ovulation isiyo ya kawaida. Nashauri usitumie hizi dawa bila kupimwa hormones zako pia bila kupimwa reserve ya ovaries. Hii dawa ni kwa wale ambao wanashindwa kuovulate kikawaida ndo maana wanaboostiwa. Sasa wewe ovaries zako,hormone zipo normal unataka boosting ya nini ?
Clomiphene (Clomid)zina side effects.Unaweza pata ovarian cyst,cancer ya ovaries. Figo ikahenyeshwa. Unajua hizi dawa zinablock Estrogen receptors kwenye hypothalamus. Hivyo FSH na LH zinakuwa kwa wingi ndo maana kunakuwa na stimulation ya ovulation isiyo ya kawaida. Nashauri usitumie hizi dawa bila kupimwa hormones zako pia bila kupimwa reserve ya ovaries. Hii dawa ni kwa wale ambao wanashindwa kuovulate kikawaida ndo maana wanaboostiwa. Sasa wewe ovaries zako,hormone zipo normal unataka boosting ya nini ?
Hii procedure anaundergo ke peke yake or both me na ke
Mama mwanaume anamwaga mbegu million kadhaa kwa mzunguko mmoja so hata kama mwanamke atatoa mayai 20 yote yanarutubishwa
Kwahiyo mwanaume hana cha ku-undergo
Kama hawezi kurutubisha hilo ni tatizo jingine kabisaaa na hizo dawa hazimsaidii kwa sababu zile dawa ni kwa ajili ya mwanamke kutoa mayai mengi kwa wakati mmojaSawa baba ila nikukumbushe si kila mmwaga mbegu anarutubisha ndomana nikauliza
Kama hawezi kurutubisha hilo ni tatizo jingine kabisaaa na hizo dawa hazimsaidii kwa sababu zile dawa ni kwa ajili ya mwanamke kutoa mayai mengi kwa wakati mmoja
Kama hawezi kurutubisha hilo ni tatizo jingine kabisaaa na hizo dawa hazimsaidii kwa sababu zile dawa ni kwa ajili ya mwanamke kutoa mayai mengi kwa wakati mmoja
Umeeleweka mkuu sante kwa ufafanuzi