Je, kuna njia nyingine za kupata watoto mapacha ukiachana na kupandikiza maabara au kutokea tu naturally kama ambavyo tumezoea ?

Je, hizo dawa hazina side effects kwa mtumiaji kwa wakati huo kwa baadae ?
Clomiphene (Clomid)zina side effects.Unaweza pata ovarian cyst,cancer ya ovaries. Figo ikahenyeshwa. Unajua hizi dawa zinablock Estrogen receptors kwenye hypothalamus. Hivyo FSH na LH zinakuwa kwa wingi ndo maana kunakuwa na stimulation ya ovulation isiyo ya kawaida. Nashauri usitumie hizi dawa bila kupimwa hormones zako pia bila kupimwa reserve ya ovaries. Hii dawa ni kwa wale ambao wanashindwa kuovulate kikawaida ndo maana wanaboostiwa. Sasa wewe ovaries zako,hormone zipo normal unataka boosting ya nini ?
 
Duh! Kumbe there is a price to pay kwa kutaka hao mapacha kwa kutumia shortcuts.
 
Clomiphene (Clomid)zina side effects.Unaweza pata ovarian cyst,cancer ya ovaries. Figo ikahenyeshwa. Unajua hizi dawa zinablock Estrogen receptors kwenye hypothalamus. Hivyo FSH na LH zinakuwa kwa wingi ndo maana kunakuwa na stimulation ya ovulation isiyo ya kawaida. Nashauri usitumie hizi dawa bila kupimwa hormones zako pia bila kupimwa reserve ya ovaries. Hii dawa ni kwa wale ambao wanashindwa kuovulate kikawaida ndo maana wanaboostiwa. Sasa wewe ovaries zako,hormone zipo normal unataka boosting ya nini ?

Hii procedure anaundergo ke peke yake or both me na ke
 
Mama mwanaume anamwaga mbegu million kadhaa kwa mzunguko mmoja so hata kama mwanamke atatoa mayai 20 yote yanarutubishwa

Kwahiyo mwanaume hana cha ku-undergo
 
Sawa baba ila nikukumbushe si kila mmwaga mbegu anarutubisha ndomana nikauliza
 
Back
Top Bottom